Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

drw of the day
MAXB
 
Attachments

  • FB_IMG_1571573200834.jpg
    FB_IMG_1571573200834.jpg
    27.8 KB · Views: 18
Ukiweka OVER 2.5 game ya man u v liverpool lazima ujiulize mara mbili je, Liverpool wana uwezo wa kufunga goal zote tatu? maana yake leo man u leo akipata goal, basi ni la penalt.
Away win to Nil-YES uhakika 75%
 
Away Win Either Half
 
Nenda kwenye website yao kisha utakiona kialama kama kimtu place that shuka chini kabisa utaona icon ya apk yao

mkuu nmetumia browser zote web inagoma Ku access naambiwa you can't to reach this site

Nenda kwenye website yao kisha utakiona kialama kama kimtu place that shuka chini kabisa utaona icon ya apk yao
 
Hii kazi umekuwa ngumu ndani ya wiki nimepoteza 800kView attachment 1238969
Ukiwa unabet hivi unahitaji utajiri was haraka. In nzuri ila kuweka kilo kwenye odd 9 mechi zaidi ya sita then kuna direct win huko ni kujitakia stress.
Bora hyo laki Tisa ungejipa siku tano kuitafuta kwa odds mbili ungeipata.
Change your game.
 
Back
Top Bottom