Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Still mkuu inagoma... sijui shida nn
20191022_183621.jpeg
 
Ila betting bana, yani naliwa tu, ata game mbili jamani?? timu unakuta head to head zinafunganaga had goli4-5 jana nikaifata 1.5 over, nikajua 100% napg, daaah mwsho wa siku score inakuwa 1-0 , jaman yan mpaka nahs kurogwa, maana kadr navyoongeza umakini, ndvy nazd kupgw tu.!!
 
beting imekua ngumu kwa kweli labda tubadili mfumo wa kubet(option,na masoko mengine)
Ila betting bana, yani naliwa tu, ata game mbili jamani?? timu unakuta head to head zinafunganaga had goli4-5 jana nikaifata 1.5 over, nikajua 100% napg, daaah mwsho wa siku score inakuwa 1-0 , jaman yan mpaka nahs kurogwa, maana kadr navyoongeza umakini, ndvy nazd kupgw tu.!!
 
Hahaaaaaaaaa KWA lugha. Ya mwamposaa imekusambaziaaa upendoooo
Mpwa hii kitu na bahati huwa inahusika sana, ilishaninyima pesa ndefu dk ya 99 na siku moja ikanipa pesa dk ya 102 Sasa fikilia mechi inachezwa dk zote hizo ili uunyimwe au upewe.
 
Wadau nje ya mada kidogo kuna ambaye anajua app ya kufuta colors kama unakuta mkeka umefutwa futwa pls kama kuna anayejua bas tusaidiane
 
Back
Top Bottom