Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada tafadhali!
kwa anaetumia bank Abc visa card kufanya miamala..ukiwithdraw pesa kutoka 1x account inachukua mda gani kusoma kwenye account yako?
 
Mpwa hii kitu na bahati huwa inahusika sana, ilishaninyima pesa ndefu dk ya 99 na siku moja ikanipa pesa dk ya 102 Sasa fikilia mechi inachezwa dk zote hizo ili uunyimwe au upewe.

Mpwaà 100% Niko naweww BILA lucky lazima uchangie sana mishahara ya wale wafanyakazi pale kariakoo na kwinginekoo
 
Jana hakika ilikuwa ni siku ya mavuno huwa inatokea mara moja au mbili kwa mwaka team kubwa zote nyumbani na ugenini kushinda!!hakika leo ni mwendo wa supu nzito asubuhi,mchana ugali samaki sato ,usiku mbuzi choma na castle lite baridi huku ukiangalia mechi ya Dortmund na inter....hongeri wapambanaji wezangu ni matumaini jana hakuna aliyeliwa kabisa
 
Mpwaà 100% Niko naweww BILA lucky lazima uchangie sana mishahara ya wale wafanyakazi pale kariakoo na kwinginekoo
Bahati ina matter sana huu mchezo ndo maana hela ndogo i mean 500 ndo inaongoza kwa kula pesa nyingi...unapofunga dau kubwa una kuwa very keen na selective hapo ndo jini linapokuja
 
1xbet wanasema kama payment system haipo,,mjue kuna technical problem n wanashughulikia hasa hizo Tigo,Mpesa na Airtel money
 
Back
Top Bottom