Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

cs hiooo wekaa mkeeee
Screenshot_20191023-150934.png
 
Duh noma leo nataka nitoke namna hiyo sijui mchawi atakuwa nani hapo
SPORTPESA

SK Slavia Praha - FC Barcelona predictions FC Barcelona win or draw odds 1.13

KRC Genk - Liverpool FC prediction Liverpool FC win or draw odds 1.33

Inter Milan - Borussia Dortmund prediction Inter Milan win or draw odds 1.35

Total odds 2.02
Odds za Liverpool win or draw haiwez kuwa hivi angalia vizuri mkuu
 
HALAFU WALE WANAOLALAMIKA KILA SIKU KUHUSU 1X BET MNACHOSHA KWA KWELI KWANN HAMNA HATA AKILI NDOGO YA KUCHANGANUA MAMBO!! HIYO SITES SIO YA HAPA BONGO HALAFU MTU UNAANZA KUHANGAIKA KUWEKA PESA ZAKO HUKO NA KILA SIKU WANABADILISHA SYSTEM ZA KUDEPOSIT SASA KWANN UENDELEE KUTESEKA NAO WAKATI HAPA BONGO SITES ZA KUBETIA ZIPO KIBAO TU NA KUNA OPTION AMBAZO NI TAMU PIA ILA KWA KUWA WABONGO TUNAPENDA SANA OPTION ZA VITONGA NDO MAANA KILA SIKU WATU WANALALAMIKA BY THE WAY HAKUNAGA OPTION RAHISI HUWA NI TUNACHEZA NA POSSIBILITY!!

IFIKE MAHALI TUSIWE KAMA WATOTO TUNAOANZA KUBALEHE WE KAMA HUYO 1X BET NDO MKOMBOZI WAKO PAMBANA NAYE KIVYAKO HUKO PRIVATE MSITUCHOSHE BHANAAA!! KAMA NIMEKUKERA POLE NENDA KALE UGALI NA NYAMA CHOMA HASIRA ITATULIA....
Naanzaje kutoka Ixbet wakat match 5 tu odds zimenona
Screenshot_20191023-132542.jpeg
 
Kutoa kwa Bitcoin ni kuanzia 95K sio? Na je mnakabiliana vipi na kupanda na kushuka kwa thamani ya Bitcoin?
Inategemea na mda km leo ni elf92 Kuna cku inazidi mpaka laki na ishirin me sion ttzo lolote mana hakuna kikamilifu makato kila upande yapo mm nafata option na match nyingi nilideposit elf25 napata elf22 ila cdeposit kila cku nilideposit nabet kidg dogo mpaka nipate ambayo nikiinetia kubwa itabakia endapo nimelost kuepuka kuisha yote cwez kuhama mpk watoe njia zote ambazo cwez kuzitumia
 
Mida ya baadae nakuja huko pm unisaidie kuhusu bitcoin maana nimeshinsdwa kuelewa kwa kweli
 
Mkuu tunaomba elimu hapo kwenye kutoa kwa mpesa masta card
Pakua apk.
Haina tofauti sana na ya Bongo mimi nilipewa na muafrica mmoja anaishi Bulgaria tuko group moja Telegram na ilikuwa na dollar 1.

Nikitaka kutoa natumia M-pesa MasterCard.
Parimatch hii ina currency zotee hadi TSH
 
Wakuu na tigo kutuma sportpesa vipi inamatatzo manake jana hela yangu imeenda tigo kutuma betpawa...
 
Back
Top Bottom