Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu account yako ya betpawa ulifungulia/register kupitia mtandao gani? Namba hiyo hiyo uliyotuma pesa ndiyo uliyofungulia account?
Yaan niliweka hela betpawa tangua jana kupitia tigopesa lakini hadi leo kimyaaa haijaingia nimewasiliana na betpawa lakini ni full kunifariji tu kwamba itaingia
 
Wadau goal la samata kwa liverpool mnalizungumziaje? Mi gg isipotoa leo basi mchawi wangu ni refa na si genk, goal halali kabisa lile halafu yeye anasema offside.
 
Liverpool naombeni goli 2 tu yani lile la samata kukataliwa imeharibu ningekua nasubiri goli moja tu dah
 
Pakua apk.
Haina tofauti sana na ya Bongo mimi nilipewa na muafrica mmoja anaishi Bulgaria tuko group moja Telegram na ilikuwa na dollar 1.

Nikitaka kutoa natumia M-pesa MasterCard.
Parimatch hii ina currency zotee hadi TSH
Mkuu samahani hebu nieleweshe kidogo kuhusu hii Mpesa Mastercard
 
Wasengee wamekaza wameachia [emoji21][emoji21]
Screenshot_20191024-000338.jpeg
 
Kwenye basketball kitu chepesi zaidi kukibetia ni over kwenye kila quarter kasoro quarter ya tatu hii sio ya kuiamini sana kwa sababu ya sub.

Kingine ni handicap hii odds za kibabe
Wanaanza kufanya substitution kuanzia quarter ya 3??? Au hata quarter ya 1 na ya 2 sub inaweza kutokea????
 
So ww mkuu kudeposit hiyo parimatch ya Ukraine unatumia njia gan? Na vp option zake ukicompare na hii ya bongo?
Sub kocha anaeza fanya kila stoppage yani ni balaa roho mkononi ila mara nyingi mziki mnene huwa unaanza quarter 1 na 2 kisha ya tatu wanapumua ya nne wanarudi
 
Pakua apk.
Haina tofauti sana na ya Bongo mimi nilipewa na muafrica mmoja anaishi Bulgaria tuko group moja Telegram na ilikuwa na dollar 1.

Nikitaka kutoa natumia M-pesa MasterCard.
Parimatch hii ina currency zotee hadi TSH

Mkuu, hapo kwenye kutoa kwa M Pesa Mastercard ndipo Ulipo niacha
 
Back
Top Bottom