Sad Larry
JF-Expert Member
- Jun 17, 2019
- 414
- 558
[emoji23][emoji23][emoji23] ila betPAWA sawa lakini
Tupate wadhamini kutoka studioView attachment 1263576
Tupate wadhamini kutoka studioView attachment 1263576
[emoji23][emoji23][emoji23] Wazee skuiz inamaana ndo wanabet sana?? Et hivi ni kweli kila siku wanashinda wazee??
Afu huyo mwamba chin apo mwshon kawatwanga good QN.
Naipenda betpawa but usalama sasa
View attachment 1263581
Mkuu hisabati inakupa shida nini?Kwahyo mechi ikiisha 1-1 au 2-1 inakuwa nimekula au inakuaje?
atakuwa ameshaelewa! 😁😁Mkuu hisabati inakupa shida nini?
1-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?
2-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?
Kama yamezidi 6 umelost
Na kama yapo chini ya 1 umelost
Beti ngumu jamani
Mbona stars wanamwamin sana hii game, ana odd 2.01
Wakat gunien ana 3.01
Mbona ipo wazii hivoo
Hii game Tanzania lazima azingueOdd zsikutishe mzee kama hamuamn tz mpe double chance ashinde au sare
Na bado inachana.😀😀Odd ya 1.01,1.02 nayo unaweka?!loh!
Nashukuru Mzee baba kwa maelezo bt Hayo mambo ya hesabu wanajua akina JometriMkuu hisabati inakupa shida nini?
1-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?
2-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?
Kama yamezidi 6 umelost
Na kama yapo chini ya 1 umelost
Una deposit vp 1xbet mkuuTwende tena na hapa... over 1.5 kwa odds 2.View attachment 1263671