Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23][emoji23][emoji23] Wazee skuiz inamaana ndo wanabet sana?? Et hivi ni kweli kila siku wanashinda wazee??

Afu huyo mwamba chin apo mwshon kawatwanga good QN.

Naipenda betpawa but usalama sasa


 
Mkuu hisabati inakupa shida nini?
1-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?
2-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?

Kama yamezidi 6 umelost
Na kama yapo chini ya 1 umelost
atakuwa ameshaelewa! 😁😁
 
Sijawahi kwenda uwanjani then tukapoteza game.

Leo labda tutoke sare lakini hatufungwi.

Nikisitaga kwenda basi ujue siku hiyo matokeo ndio hovyo iwe game ya simba au stars.


Stars win or droo stake 100β„…
 
Mkuu hisabati inakupa shida nini?
1-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?
2-1 ni jumla ya magoli mangapi hapo?

Kama yamezidi 6 umelost
Na kama yapo chini ya 1 umelost
Nashukuru Mzee baba kwa maelezo bt Hayo mambo ya hesabu wanajua akina Jometri
 
Twende hastehaste na hapa ..... subs huwa zinatoa mara nyingi kwa kuanzia kipindi cha pili. Cha kwanza ikitokea basi ni injuries.
 
Twende pia na hapa, matches za Africa nyingi hutoa unders. Pengine tunaweza kutengeneza pesa hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…