Huku uwezekano wa kumpiga kanji ni 67℅,nmejifunza kitu huku jaribu kuweka match 2 au tatu tu,kama ni 10k gawa 5k mikeka miwili tofauti,trust me lazima ule mmoja
Tatizo sio Idadi ya Mechi, shida ni jumla ya odds! Unaweza ukaweka mechi moja tuu yenye odd 13 kwenye mkeka Mmoja , na Mkeka mwingine mechi moja tu odd 1.11 na halafu ukashinda huo mmoja wa odd 1.11 unakuwa Haujafanya la maana yani inakuwa kama hatu za Mlevi! Kwahyo next time ni vizuri tukaongelea odds siyo idadi ya mechi coz unaweza ukakusanya mechi 15 option ya 0.5 hapo unapata odd 2 tu! Hii Mifumo yote ameitega kanji ili kujinufaisha
nikikosa hela ya kubet natafutaga kuanzia 1.05 na kuendelea kwa option ya ov 0.5 fulltime nawekaga minimum timu 30 kwahiyo katika idadi ya timu hizo inacheza odds kuanzia 7 mpaka 10 lakini Kanji alivyokuwa na bahati watu bado tunachana vilevileTatizo sio Idadi ya Mechi, shida ni jumla ya odds! Unaweza ukaweka mechi moja tuu yenye odd 13 kwenye mkeka Mmoja , na Mkeka mwingine mechi moja tu odd 1.11 na halafu ukashinda huo mmoja wa odd 1.11 unakuwa Haujafanya la maana yani inakuwa kama hatu za Mlevi! Kwahyo next time ni vizuri tukaongelea odds siyo idadi ya mechi coz unaweza ukakusanya mechi 15 option ya 0.5 hapo unapata odd 2 tu! Hii Mifumo yote ameitega kanji ili kujinufaisha
Apa Nawaza tu Bado Sijaamua Vip Apo Wadau View attachment 1264299
Nimekukubal mkuu[emoji120] naona pesa hapa kabisaaToday's Tips
Euro qualification
Russia vs Belgium
Tip over 1.5
Odd 1.27
Time 2:00
Euro qualification
Austria vs Macedonia
Tip 1
Odd 1.30
Time 4;45
Euro qualification
Slovenia va latvia
Tip 1 goal handicap 1 win
Odd 1.30
Time 4;00
Euro qualification
N.Ireland vs Netherlands
Tip 2
Odd 1.57
Time 4:45
Euro qualification
Germany vs Belarus
Tip over 2.5
Odd 1.30
Time 4:45
N.ireland
Institute vs LInfield
Tip 2
Odd 1.28
Time 12:00
tafuta odds 2 au 3 weka mzigo ACHA TAMAA
tupe madiniNimekukubal mkuu[emoji120] naona pesa hapa kabisaa
Na Mimi naongezea
Northeast Ireland premiership
1. Cliftnoville vs Barrymena Utd
Tips; 1 odds 1.40
2.Warrenpoint Town Fc vs Corelaine
Tips; FT over 1.5
Northern Ireland Championship (IFA)
1. Loughgall vs Knockbreda Fc
Tips; 1 odds 1.36
Total odds 2.21
Narudi chimbo tena