wadau kubet upande wa card hasa yelow,tunaweza tumia mbinu gan kwenye over/under
HELAAHIII KAMA.UJAIONAAAA NYT MONEY*midnight freestyle*
*Match : Atletico de Rafaela v CA Sarmiento*
Tip : GG
odds : 2.10
Extra tip : Full time draw
odds : 3.10
ShukranGames za derby au timu kukamiana sana zinakuaga na yellow za kutosha.
Over 0.5 1Half nayo inatoa sana.
Underdog mara nyingi wanakua na kadi nyingi kuliko superior
Red card ni nzuri kuicheza No red card kwa games ambazo hazina pressure kubwa
RAM kubwa mno mzee mwenzangu wa kubet hivyo nikifungua wala hainisumbui cha muhimu angalia mikeka hizo YOUTUBE na vingine usijali,. Huo sio uchafu maana sifunguagi tab moja nabet huku naendelea na shughuli zingine TIME IS MONEY SAVE THEM BOTH..
Weee ni mchafu ona browser yako[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Hvi wadau katika mchezo wa ice hockey.handball na volleyball kila kpind kinakuwa na dikka ngapi
Vile vile tennis nayo kila set Ina dakika ngap?
Ushakimbia vipigo football[emoji119][emoji119]Hvi wadau katika mchezo wa ice hockey.handball na volleyball kila kpind kinakuwa na dikka ngapi
Vile vile tennis nayo kila set Ina dakika ngap?
Hvi wadau katika mchezo wa ice hockey.handball na volleyball kila kpind kinakuwa na dikka ngapi
Vile vile tennis nayo kila set Ina dakika ngap?
Wakuu kwa Leo Nina M 1 nataka odds tatu tu nijilipue kiaina,nisaidieni odds wakuu
mkuu hongera, wenye navyo hakika huongezewa!
Wishing you the best mkuuKwanini nisijaribu mkuu,nishaliwa sana kwenye beti,na nilishakula sana hivyo siogopi Mimi,bet ni bahati hupaswi kuwa mwoga,mfano Jana nilikuwa na odds 18 nikaweka 2000 kwa hofu zangu ,nikala vipi ningeweka 1 m ? By the way nikiliwa potelea mbali
Asante Mr huwa nawekaga mizigo tuu Tim yangu moja ambayo iko na odds 2 naweka pesa ndefumkuu hongera, wenye navyo hakika huongezewa!
Shusha vituAsante Mr huwa nawekaga mizigo tuu Tim yangu moja ambayo iko na odds 2 naweka pesa ndefuView attachment 1264997
its better if u put the lost bet, for more analysisWAKUU ᴡᴀɴɢᴀᴘɪ ᴡᴀɴᴀᴛᴀᴋ 2 ᴏᴅᴅs ᴜɴᴀᴡᴇᴋᴀ ʜᴀᴛᴀ ʟᴀᴋɪ 300000 ᴜɴᴀᴘɪɢᴀ ᴘᴇsᴀ ʏᴀᴀɴɪ ᴜʜᴀᴋɪᴋᴀ ғᴏʀ ᴍᴀxʙᴇᴛ ᴘʀᴇᴅɪᴄᴛɪᴏɴ ᴍʏ ғʀɪᴇɴᴅ
Cᴀʟʟ ᴍᴇ ᴋɪɴɢ ᴏғ ʙᴇᴛᴛɪɴɢ ᴀᴍ ᴅᴇᴀʟ ᴡɪᴛʜ 2+ᴏᴅᴅs ᴏɴʟʏ
FROM Kɪɴɢ ᴏғ ʙᴇᴛᴛɪɴɢ
2 ᴏᴅᴅs ɪs ʙᴇᴛᴛᴇʀ ᴛʜᴀɴ ᴛʜᴏsᴇ ғᴏᴏʟɪsʜ ᴛʜɪɴɢ ᴄᴀʟʟᴇᴅ ғɪxᴇᴅ.. ᴛʜᴇ ᴘʀᴏʙʟᴇᴍ ᴡɪᴛʜ ʏᴏᴜ ɢᴜʏs ɪs ʏᴏᴜ ᴀʀᴇ ɢʀᴇᴇᴅʏ .. ʏᴏᴜ ɴᴇᴇᴅ ᴛᴏ ʙᴇ ʀɪᴄʜ ᴠᴇʀʏ ғᴀsᴛ. Eᴠᴇɴ Rᴏᴍᴇ ᴡᴀs ɴᴏᴛ ʙᴜɪʟᴛ ᴏɴ ᴀ sɪɴɢʟᴇ ᴅᴀʏ ... Sᴏ ʙᴇғᴏʀᴇ ɢᴇᴛᴛɪɴɢ sᴄᴀᴍᴍᴇᴅ ᴀsᴋ ʏᴏᴜʀ sᴇʟғ sᴏᴍᴇᴏɴᴇ ʜᴀs 400 ᴏᴅᴅs ᴡʜʏ ᴅᴏ ʜᴇ ᴏʀ sʜᴇ ᴍᴀxʙᴇᴛ ᴡɪᴛʜ 10000 ᴀɴᴅ ʙᴇ ᴀ ᴍɪʟʟɪᴏɴᴀɪʀᴇ... ᴀɴᴅ ʙʏ ʏᴏᴜʀ ғᴏᴏʟɪsʜɴᴇss ʜᴇ ᴏʀ sʜᴇ ᴀsᴋs ʏᴏᴜ ғᴏʀ 4000 ʏᴏᴜ sᴇɴᴅ ɪᴛ ᴛᴏ ʜɪᴍ ᴏʀ ʜᴇʀ...
Tʀʏ ᴀɴᴅ ᴅᴏ ᴛʜɪs . Yᴏᴜ ʜᴀᴠᴇ ᴊᴏɪɴᴇᴅ 2 ᴏᴅᴅs VIP ʏᴏᴜ ʜᴀᴠᴇ sᴛᴀᴋᴇᴅ ᴛʜᴇ 2 ᴏᴅᴅs ᴡɪᴛʜ 4000 ʏᴏᴜ ᴡᴏɴ 8000 .. PROFIT 4000 .. sᴇᴇ ʏᴏᴜ ᴄᴀɴ ɪɴᴠᴇsᴛ ᴡɪᴛʜ ʙᴇᴛᴛɪɴɢ ᴏɴᴄᴇ ʏᴏᴜ ᴏᴘᴇɴ ʏᴏᴜʀ ᴍɪɴᴅ ʙɪɢ ᴀɴᴅ ғᴏʀɢᴇᴛ ᴛʜɪs sɪʟʟʏ ᴛʜɪɴɢs ᴄᴀʟʟᴇᴅ ғɪxᴇᴅ.. ɪᴛ's ᴜᴘᴏɴ ʏᴏᴜ ɴᴏᴡ ᴇɪᴛʜᴇʀ ʏᴏᴜ ɪɴᴠᴇsᴛ ғʀᴏᴍ 2 ᴏᴅᴅs VIP ᴏʀ sᴄᴀᴍᴍᴇʀs ɪɴᴠᴇsᴛ ғʀᴏᴍ ʏᴏᴜ .. Oɴᴄᴇ ʏᴏᴜ ᴏᴘᴇɴ ʏᴏᴜʀ ᴍɪɴᴅ ᴀɴᴅ ᴛʜɪɴᴋ HARDER ᴛᴀʟᴋ ᴛᴏ ᴍᴇ ʙʏ ɪɴ ʙᴏxɪɴɢ ᴡɪᴛʜ ᴛʜᴇ ᴡᴏʀᴅ I ɴᴇᴇᴅ ᴛᴏ 2 ᴏᴅᴅs VIP
View attachment 1264998