Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndoano
Screenshot_20191117-153843.jpeg
 
Iyo basketball japo siujui vizuri ila nina uhakika ni 85%
Kama utachagua chache usizidishe weka chache
Betia kwa meridian ndio kuna odss nzuri
Odds chache hapo kwa @ ni 1.39 odds kubwa ni 1.56View attachment 1265130
Asante mkuu tunakosa sana hizi TIPS za BASKETBALL tunaziomba mara kwa mara kadri uwezavyo humu SOCCER imetawala sana.
 
wakuu game ya senegal mbona imezimwa, vip huko mnaoangalia

Huku liverscore naambiwa absent wakat ilikuwa inacheza
 
Back
Top Bottom