Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakubwa hii mechi ya Congo na Guinea-Bissau vipi? Ndio haitochezwa leo au vipi? Vipi kwa Gal Sports betting wanayo option kwamba ikifika baada ya muda wanakutumia hela kwa mechi zilizochezwa? View attachment 1265450
kila kampuni ina muda wake wa kurudisha hela kwa situation kama hiyo kuna wale wa masaa 24, 48 au 72.

ila Congo DR imeshinda leo
 
AHSANTE KWA TIPS
NIMECHUKUA HIZI!

AHSANTE KWA TIPS! BET WON [emoji91][emoji91]

View attachment 1265307

Adjustments.JPG
 
WALE WALIOJIUNGA NA DRW GRPS HOPE MOLA AJATUACHA HIZI SIKUTATU
2WOON/3 CONS
WHATSUP +255713458722
 
Hawa Princessbet mbona wanakuwa wahuni, yaani mtu unashinda 47k wanakulipa 39k. Mambo gani hayaView attachment 1265449
Princess Bet wameondoa bonus, wanasema ni kwa muda ila ndo hatujui mpaka lini. Hicho kidada hapo chini kushoto juu ya balance ukikifungua tu kinaleta hiyo msg.

So salio lililoko ni baada ya ile bet slip kukatwa kodi. Kihesabu zaidi tunaenda kama hivi,

Won amount - Stake = Faida
47,449.48 - 10,000 = 37,499.48

Kodi ya faida = 37,499.48x 20%
= 7,499.90

Salio baada ya kodi
=37,499.48-7499.90
= 29,999.58

Ukijumlisha na Stake yako
29,999.58 + 10,000
= 39,999.58

Hii ndo balance yako +/- visent vidogo
 
Kumekucha wana, NBA ni minyama tuu ya kuamkia blue Monday. Ni Mwendo wa live betting tuu mpaka kanji achanganyikiwe.
 
At your own risk

Nb, kila niki share mkeka unalost, kimya kimya inatikiView attachment 1265036View attachment 1265038
Mkeka A
Namibia nimemtanguliza na goli 2.5, nahisi guinea hawezi shinda wastani wa 3 - 0

Nigeria nao ugenini sio wazuri, sidhani kama wanauwezo wa kushinda wastani wa 3-0 pia

Wacongo wabishi kwao nimewatanguliza na goli moja

Rwanda uwanja wa nyumbani kufunga goli ni kawaida, nimewapa over 0.5 ft

Game ya Gabon imenishinda maarifa nimerusha shilingi, hakuta kuwa na draw

Mkeka B
Eswatini wadhaifu sana kwa Senegal, senegal win

Sudan wadhaifu sana kwa SA, SA win

Uganda nimewapa dc 1x, wana advantage ya nyumbani na wako vizuri dhidi ya malawi

Game ya Burkinafaso nimerusha shilingi, no draw

ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
Mkeka A nao bet won

Unapoa amka nakukuta faida
Screenshot_2019-11-18-06-34-33-1.jpeg
 
Back
Top Bottom