Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Hii game itakua imesimamishwa
Imechukua dk chacheView attachment 1265342
Imechukua dk chacheView attachment 1265342
Mkeka B so far so goodAt your own risk
Nb, kila niki share mkeka unalost, kimya kimya inatikiView attachment 1265036View attachment 1265038
Mkeka A
Namibia nimemtanguliza na goli 2.5, nahisi guinea hawezi shinda wastani wa 3 - 0
Nigeria nao ugenini sio wazuri, sidhani kama wanauwezo wa kushinda wastani wa 3-0 pia
Wacongo wabishi kwao nimewatanguliza na goli moja
Rwanda uwanja wa nyumbani kufunga goli ni kawaida, nimewapa over 0.5 ft
Game ya Gabon imenishinda maarifa nimerusha shilingi, hakuta kuwa na draw
Mkeka B
Eswatini wadhaifu sana kwa Senegal, senegal win
Sudan wadhaifu sana kwa SA, SA win
Uganda nimewapa dc 1x, wana advantage ya nyumbani na wako vizuri dhidi ya malawi
Game ya Burkinafaso nimerusha shilingi, no draw
ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
LOST wamefungwa matokeo ni 1-3 BETTING noma uliowategemea wameogeshwa
Hii games ndo yachezwa now, nyie mnaangalia wapi?Mkeka umechanika,nilikuwa nakufatilia sana juu ya comment zako za kutaka kuwauzia watu sure odds,we we kawatapeli watu wa fb sio huku
Bet wonMkeka B so far so good
Kama game ya Senagali isingekuwa interrupted ingekuwa WON
Tusubiri tuone, anaongoza 4 kwa 1View attachment 1265358
Haifanyi kazi leoTigopesa Haya Mawenge Ni Kwangu Tu Au Hata Nyinyi???
Tumia Live Score hii the best one Livescore: Soccer Scoreswakuu game ya senegal mbona imezimwa, vip huko mnaoangalia
Huku liverscore naambiwa absent wakat ilikuwa inacheza
Bet won. 2-1
LOST wamefungwa matokeo ni 1-3 BETTING noma uliowategemea wameogeshwa
Mkuu tupia tps za basketball soka vipigo vimezidWana baada ya kumtembezea kichapo sana kanji wa parimatch kwa njia ya basket naona kanitumia bonas Ila inabidi niitumie kwenye virtual games na virtual games amna basket naombeni maelekezo wazee.
Mkuu Naomba Maujanja Ya BasketWana baada ya kumtembezea kichapo sana kanji wa parimatch kwa njia ya basket naona kanitumia bonas Ila inabidi niitumie kwenye virtual games na virtual games amna basket naombeni maelekezo wazee.
Asant MkuuHaifanyi kazi leo
kodi ni 20% mkuu......hiyo hela uliyokatwa imeenda kuchangia ujenzi wa barabara Itigi hukoHawa Princessbet mbona wanakuwa wahuni, yaani mtu unashinda 47k wanakulipa 39k. Mambo gani hayaView attachment 1265449