Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,915
3 out of 3 ✅✅ BOOOOOOOOOOOOOOM💪tumefungua ofisiView attachment 1265134
3 out of 3 ✅✅ BOOOOOOOOOOOOOOM💪tumefungua ofisiView attachment 1265134
Freesupertips.com, Mightytips.com, Leaguelane.com na nyingine nyingi.Samahani wadau wa betting naomba msaada wa kuzifahamu sites zinazotoa predictions na tips nzuri za football for free
betensured, tips180 zulubet, statarea na nyingine nyiiiiingi ila siku zote za kuambiwa achanganye na za kwake halafu akumbuke hizi nazo wanabashiri tu sio kwamba eti wana uhakika mia kwa miaFreesupertips.com, Mightytips.com, Leaguelane.com na nyingine nyingi.
Mzee matusi yanini,kama uhitaji wenzako wamekuja inbox,tiketi nitawapa free,winning ni almost 100% then wafanya shukrani baadaye,kuna faida gani mimi kula pekeyangu?We we mpuuzi sana,humu si fb,kama unataka weka odds hapa ,atakaye kufuata in box naye ni mppuuzi,juu Uzi hatunaga juu ujinga.bet ni bahati hakuna cha utaalamu
Naona umeamua kujiundia app yako mwenyeweWadau huu mkeka niaje? nijilipueView attachment 1265784
sasa hujaona faida ya kula peke yako si ndo uweke hapa jukwaaniMzee matusi yanini,kama uhitaji wenzako wamekuja inbox,tiketi nitawapa free,winning ni almost 100% then wafanya shukrani baadaye,kuna faida gani mimi kula pekeyangu?
Wakija inbox ndo unaona rahaa au Unataka uwaundie grpMzee matusi yanini,kama uhitaji wenzako wamekuja inbox,tiketi nitawapa free,winning ni almost 100% then wafanya shukrani baadaye,kuna faida gani mimi kula pekeyangu?
Thanks alot broFreesupertips.com, Mightytips.com, Leaguelane.com na nyingine nyingi.
Naelewa mkuu cha msingi nimeomba hizo site ili zinisaidie kufanya analysis na sio kwamba naziamini mia kwa miabetensured, tips180 zulubet, statarea na nyingine nyiiiiingi ila siku zote za kuambiwa achanganye na za kwake halafu akumbuke hizi nazo wanabashiri tu sio kwamba eti wana uhakika mia kwa mia
kwanini mkuu [emoji848][emoji848][emoji848]Naona umeamua kujiundia app yako mwenyewe
Point hii mzee baba,itatusaidia san watu wakfata..enewei,sbr ligi zrudBest five challenge...
Tupia mechi yako moja tu ya siku na option
Iwe na odd 1.3 and above
Best five matches/option zitatupa odd above 3..
My choice ni hii - Sweden-Feroe Goals both half 1.35 (odd)
Acha ubinafsi buda mm nkiliwa ww unafaidika nnMzee matusi yanini,kama uhitaji wenzako wamekuja inbox,tiketi nitawapa free,winning ni almost 100% then wafanya shukrani baadaye,kuna faida gani mimi kula pekeyangu?
AnytimeThanks alot bro