Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Halafu bado kuna wapuuzi wanasema kamari dhambi mara ooh fanyeni kazi..na wakati hizo pesa na wao wananufaika kwa namna moja au nyingine kwenye huduma mbalimbali..
Katika hilo gawio kuna hela zetu nyingi sanaaaaa.....hapo hata kampuni nyingi ambazo serikali ina hisa zitasubiri sanaaaaaa na kwa matrililion ya karne kutoa gawio kama hilo
 
50/50
EPL
Ngoja tumrudishie kidogo kanji hela tulizompiga jana

Stake what you can afford to lose
 
Naona princessbet washafanya yao sijui kampuni ndo inafilisika nimewala cha ajabu amount niliyoshinda haijawa updated tokea jana, nawapigia simu haipokelewi sasa hivi nikiwapigia kama wanakata vile....acha nirudi zangu parimatch na sportpesa hawa hawakuwahi kuniangusha kabsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…