Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Void ab initio vyuma vimekaza au ki2gani mbona huonekani jukwaani au upo FB?
Void aliliwaga pesa ndefu sana jsmaangu uyu hana hamu tena
Jamaa w alipenda sana stake ndefu
Void ab initio vyuma vimekaza au ki2gani mbona huonekani jukwaani au upo FB?
Mkuu usipende kutumia hizo app, sio officially ni za mitaani tuinasema ivo io ni appView attachment 1271085
kampuni gani hii
wapo katika maintenanceBetpawa imekuaje wangese awa kuna 200k yng mbn siwaelewi
Hata browser pia inakataa,Mkuu usipende kutumia hizo app, sio officially ni za mitaani tu
Betpawa hawana App
Pendelea kutumia browser
ahsante kwa ushauri,.Mkuu usipende kutumia hizo app, sio officially ni za mitaani tu
Betpawa hawana App
Pendelea kutumia browser
Betpawa imekuaje wangese awa kuna 200k yng mbn siwaelewi
Ingia saiv uone km tayarTayar wako online walikua ktk maintenance kdgo ndg
Hilo group hata mm silielewi naona ruhusa ya kuongea ni ya ndugai tu cc wengine marufuku. Nilijiondoa mapemaaa
We watumie wanachotaka mkuuKwa mnaotumia parimatch mlishawahi kuombwa namba ya account mpewe hela jmn
Au ndio matapeli kabisa hawa jamaa pesa yenyewe ya madafu 160k,
Wametaka vitambulisho nimewapa, uzuri vinaendana na majina ya tgo pesa na mpesa kama wanavotaka wao,
Naona wanaanza kunambia niwatumie namba ya account,
Hivi hawa mbwa parmatch hawawez kunipa hela yangu kwenye simu,
Hadi tuombana account namba