Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Imo
Screenshot_2019-11-24-19-33-52-1.jpeg
 
Hawa huwa wanazulumu. Mfano Superbet washawahi nizulumu buku yangu. Walikuwa wana log in kwa kutumia email. Mara ghafla wakaanza kutumia namba za simu bila kutujulisha watumiaji na wakanipiga buku yangu. Nikawapigia simu wanirudishie lakini hawakurudisha.
 
Betting bhana kobenhavn alikuwa kashapigwa hadi dk ya 80 eti dk ya 81 kasawazisha dk 82 kapiga chuma cha pili.....doooh yani ina nikumbusha jana game ya flamengo na river plate hadi kombe limeshaanzwa kuchorwa river plate ila dk moja tu mama ya kabadilika...betting inatia presha hay cska Moscow fanya yako niende kwa mangi mie
 
Stake what you can afford to lose
Betting bhana kobenhavn alikuwa kashapigwa hadi dk ya 80 eti dk ya 81 kasawazisha dk 82 kapiga chuma cha pili.....doooh yani ina nikumbusha jana game ya flamengo na river plate hadi kombe limeshaanzwa kuchorwa river plate ila dk moja tu mama ya kabadilika...betting inatia presha hay cska Moscow fanya yako niende kwa mangi mie
 
Aisee. Man U alikuwa na odds 38 akiwa kapigwa goli mbili, ikashuka mpaka 17 baada ya kurudisha goli moja! Woga wangu umenikosesha pesa.
 
Betting bhana kobenhavn alikuwa kashapigwa hadi dk ya 80 eti dk ya 81 kasawazisha dk 82 kapiga chuma cha pili.....doooh yani ina nikumbusha jana game ya flamengo na river plate hadi kombe limeshaanzwa kuchorwa river plate ila dk moja tu mama ya kabadilika...betting inatia presha hay cska Moscow fanya yako niende kwa mangi mie
Mimi Jana nilikuwa nimempa rotherham mkeka zaidi ya odds 200 akapigwa kipindi cha kwanza goli mbili nikajua kachana mikeka yote mitatu nikalala kuamka nakuta account inasoma 6300k sikuamini kumbe alisawazisha goli zote kaongeza na moja la ushindi
 
Back
Top Bottom