Huyo jamaa atakuwa ni mgeni na hizi kazi mimi odds ndogo ndogo napotea aga sana yani ni leo ndo nimepatia odds ya 6!!lakini kama nataka kufunga mzigo ni naanzia odds ya20+ ***** yani hapo afe yeye au nife mimi kama jana odds 30+halafu una funga kishungu 200+ ila ndo hivyo kamari haina formula asikuambie mtu leo na jana zilikuwa ni siku za pesaBetting ni bahati kunajamaa humu alikuwa anasema mtu hawezi shinda odds zaid ya 100 kuwa ni utapeli lakini nijambo linawezekanaView attachment 1271592View attachment 1271593View attachment 1271594
Bet won
Karibu tena mkuu huwa nasikia faraja sana pale mtu anapofuata mkeka wangu na kushinda!! Tuko pamoja tukutane j4Asanteni sana kwa aliyepost hii mikeka... Nalala kwa ushindi View attachment 1271600View attachment 1271601
Tushukuru Mungu Behewa Letu Limefika Salama.
SHARK upo juu kaka....nitakutafuta inbox
Thanks braza nilikufuata na niliweka buku tu nimebutua 100kBonge la behewa, odds 26.
Ila faida yake ukiweka jamaa nao wanakupa odds 2.5 za bure (250%)
Shukrani sana broKaribu tena mkuu huwa nasikia faraja sana pale mtu anapofuata mkeka wangu na kushinda!! Tuko pamoja tukutane j4
UST inamaanisha nn
Big up mkuuNiliiunganisha miwili View attachment 1271602View attachment 1271603
ASANTE MKUU HATA MIE HUKU DEAL DONE ,WALE MNAOOGOPA KUSHEA KWA IMANI ZENU KUWA MKISHARE INACHANIKA HUU HAPA USHAHIDI HUU TUMEKULA WENGI TULIOUFUATAShukrani, Nilifuata toka jana. Deal Done.View attachment 1271567
Bet won
Wakamaria mliopost mikeka this week mbarikiwe sana. Wengine tumetakata leo kdg kwa kucopy mikeka ya wana wema. Nshapata ya supu kesho,
Tatizo mzigo hautoki....ha ha ha haWakamaria mliopost mikeka this week mbarikiwe sana. Wengine tumetakata leo kdg kwa kucopy mikeka ya wana wema. Nshapata ya supu kesho,
Tuendelee kupeana mikeka hiyo wandugu
Tatizo mzigo hautoki....ha ha ha ha
Niliwahi kukutana na tatizo kama hilo nilipowasiliana nao wakanambia inawezekana kuna wakati nilifanya transaction kubwa kdg ya kiasi nilichokuwa nacho kwny card. Ko kuirekebisha ni hadi kiasi fln cha hela ukaweke kupitia dirishani (exim bank) then unaendelea kupiga mzigo kama kawaida.Hiz prepaid cards za exim zimeanza kuzingua..nimeweka hela leo nikajaribu kutupia kampun za nje haikubali..inasema hakuna salio la kutosha, nikajaribu 1$ bado giza tuu