Ndio kipindi cha kwanza kiwe na magoli zaid au?
View attachment 1271996muwe mnajaribu naizi option huwa ziko safi
View attachment 1271996muwe mnajaribu naizi option huwa ziko safi
Kaka mimi nilichukua ya BancABC mara ya kwanza ikakubali, mara ya pili nikaweka 20k kila niki deposit 15k inaniambia hivo kuwa sina pesa ya kutosha, nakuja kuangalia wamekata 1200 nyingi tu. Nilichofanya nimeachana nayo na nimejiunga na MasterCard ya Airtel Money. Haina usumbufu hata kidogo. Wanakutumia OTP kwenye simu na instantly pesa inaingia kwa account.
Ni kweli, but hiyo option sijaelewa iko vipi? Naomba unipe darasa Kidogo niwe najaribu
Ndio kipindi cha kwanza kiwe na magoli zaid au?
Hivi awa betpawa wamefilisika ama
Hela vipi...watu wamewithdraw toka jana mpaka sasa hakuna kitu... Hii kampuni ni ya kuiwekea ????betpawa imerudi hewani
Safi sana mzee
HahhahhahaParimatch bana ni wajinga sana
Ukitoa pesa ndogo inaingia hapo hapo, ila toa mzigo mzito hata sio kubwa 150k daa utasubili sanaa, wanakuomba vyet vya uraia unawapa, kila kitu unawapa ila hela hawatoi
Vyet vya uraia tena??Parimatch bana ni wajinga sana
Ukitoa pesa ndogo inaingia hapo hapo, ila toa mzigo mzito hata sio kubwa 150k daa utasubili sanaa, wanakuomba vyet vya uraia unawapa, kila kitu unawapa ila hela hawatoi
Ungekuwa unatumia kampuni ya ku turbo au cash out ungepiga ka 4mAlianza (El salavador) na internatinatinal mungu ni ndugu yenu??? Nimekosa 8,000,000 Bora ningrjibebea Boca juniors na olimpia asuncionView attachment 1271794
Sio lazima vya uraia hata bima ya afya au cheti cha kuzaliwa wanakubaliVyet vya uraia tena??
betpawa imerudi hewani
Mkuu acha tu, hawa watu sijui wamefilisika,Vyet vya uraia tena??