Uliutupia huu mkuu?Alianza (El salavador) na internatinatinal mungu ni ndugu yenu??? Nimekosa 8,000,000 Bora ningrjibebea Boca juniors na olimpia asuncionView attachment 1271794
Shukhran..nijaribu tena leo kuweka hela ingn kwa kadi mana hata1xbet kwa ile 1500 bado inagomaNiliwahi kukutana na tatizo kama hilo nilipowasiliana nao wakanambia inawezekana kuna wakati nilifanya transaction kubwa kdg ya kiasi nilichokuwa nacho kwny card. Ko kuirekebisha ni hadi kiasi fln cha hela ukaweke kupitia dirishani (exim bank) then unaendelea kupiga mzigo kama kawaida.
Pole sana ndugu, one day "yes".Alianza (El salavador) na internatinatinal mungu ni ndugu yenu??? Nimekosa 8,000,000 Bora ningrjibebea Boca juniors na olimpia asuncionView attachment 1271794
habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa yoyote aliyewahi kukumbana na tatizo kama hili
asante. vip unaweza kunisaidia hiyo namba yao ya whatsappYah hii imewahi kunikuta pia. Wakanipa namba ya whatsapp nitume vitambulisho na email yangu. Ilichukua mda kuactivate account yangu lkn mwisho wa siku ilikaa poa. Cha muhimu wasumbue kupitia whatsapp number yao
+255 759 800 778asante. vip unaweza kunisaidia hiyo namba yao ya whatsapp
asante. vip unaweza kunisaidia hiyo namba yao ya whatsapp
Kaka mimi nilichukua ya BancABC mara ya kwanza ikakubali, mara ya pili nikaweka 20k kila niki deposit 15k inaniambia hivo kuwa sina pesa ya kutosha, nakuja kuangalia wamekata 1200 nyingi tu. Nilichofanya nimeachana nayo na nimejiunga na MasterCard ya Airtel Money. Haina usumbufu hata kidogo. Wanakutumia OTP kwenye simu na instantly pesa inaingia kwa account.Hiz prepaid cards za exim zimeanza kuzingua..nimeweka hela leo nikajaribu kutupia kampun za nje haikubali..inasema hakuna salio la kutosha, nikajaribu 1$ bado giza tuu
View attachment 1271996muwe mnajaribu naizi option huwa ziko safi