soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
Mungu akulipe mkuu mambo yametiki ila najilaumu niliweka 1000 tu nawe pole uliweka stake ndogoBonge la behewa, odds 26.
Ila faida yake ukiweka jamaa nao wanakupa odds 2.5 za bure (250%)
Mungu akulipe mkuu mambo yametiki ila najilaumu niliweka 1000 tu nawe pole uliweka stake ndogoBonge la behewa, odds 26.
Ila faida yake ukiweka jamaa nao wanakupa odds 2.5 za bure (250%)
behewa letu limevuka vituo 24 bado vituo vidogo vidogo 6' tuombe mungu atufikishe salama.
nakuja kuweka mkeka ulioshinda soon ..hela ya mbogaBonge la behewa, odds 26.
Ila faida yake ukiweka jamaa nao wanakupa odds 2.5 za bure (250%)
Asante nduguPole sana mzeee[emoji33][emoji33][emoji33][emoji24]
daah kwanini sikuwaka hela ya maana...mamamaeeeeeView attachment 1271575
Broo big up saaana you change my dayTushukuru Mungu Behewa Letu Limefika Salama.
Leo vp mkuu??Leo daaaa View attachment 1271553
Dah pole aseee mpka n mm naumia Inge kua super bet ama meridian unge turbo kabla mambo hayaja haribikaLeo daaaa View attachment 1271553
Ha ha ha hao ndo kawaida yao wazee wa come back yeye na Peterborough!! Mimi jana niliweka juve,inter mila,madrid ,barca,Leicester na liver ni weka pesa ya boss ya mzigo j3 yote mamaye nikasema nipate fedha au ni fukuzwe kazi you can imagine mzigo ulisoma bei gani kwa odds zile mzigoMimi Jana nilikuwa nimempa rotherham mkeka zaidi ya odds 200 akapigwa kipindi cha kwanza goli mbili nikajua kachana mikeka yote mitatu nikalala kuamka nakuta account inasoma 6300k sikuamini kumbe alisawazisha goli zote kaongeza na moja la ushindi
Wakati mwingine ni fixed kweli hizi kakaCONGRATULATIONS IF U PLAYEDView attachment 1271578View attachment 1271578
ubarikiwe mkuu,.tunasubiri behewa lingineTushukuru Mungu Behewa Letu Limefika Salama.
Kweli jana kanji alilala na viatu maana wengine tuna gundu toka mwaka uanze tuna win za kuhesabu lakini Jana ilikuwa siku yake.Ha ha ha hao ndo kawaida yao wazee wa come back yeye na Peterborough!! Mimi jana niliweka juve,inter mila,madrid ,barca,Leicester na liver ni weka pesa ya boss ya mzigo j3 yote mamaye nikasema nipate fedha au ni fukuzwe kazi you can imagine mzigo ulisoma bei gani kwa odds zile mzigo