Shauri
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 805
- 453
shukrani sana kakaTushukuru Mungu Behewa Letu Limefika Salama.
shukrani sana kakaTushukuru Mungu Behewa Letu Limefika Salama.
Mbona betpawa wako poa sana mm kila mda natoa pesa nakuweka na haijalishi kiasi mambo yanaenda tu
Aaameeen mkuu,Tushukuru Mungu Behewa Letu Limefika Salama.
Sawa mkuuNiaje Arifu?
Nimepata treni moja linaelekea kigoma,
punde si punde nitaliachia hapa.
Lilete mwanaNiaje Arifu?
Nimepata treni moja linaelekea kigoma,
punde si punde nitaliachia hapa.
kua mvumilivu mkuu bado wanarekebisha,.mi hawajaniwekea mpunga ....pumbafu betpawa
Hapa nimejifunza kitu hata nikila milion nitakua natoa elfu hamsini hamsini mpaka inaisha hata kwa siku mara 3 huu usumbufi sitakagiParimatch nimewambia me nakuja ofc zenu kuchukua hela sitaki ujinga, baada ya kusumbuana wasap huko wakanitumia kwenye email huu ujumbe,mtandao unasumbua vip nikitoa 5000/= inatoka ila sasa toa hata 160k uone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa wajinga wakubal tu wameliwa nahakikisha 300k yangu nimeyokula jmoss naipata tu View attachment 1272232
Itakuwa wanaangalia nyie mliopiga kura kwanza....Jmosi hadi Leo..!??.so waliotoa Jana ndio mpaka kesho au kesho kutwa.. Kweli Furaha imetowekaBetpawa wameniingizia mpunga wangu nliotoa jummamosi
Ubarikiwe sana ndugu. Tuletee tupande hilo, litafika tu salamaNiaje Arifu?
Nimepata treni moja linaelekea kigoma,
punde si punde nitaliachia hapa.
Hivi wanarekebisha nini? Kisichorekebishika....siku tatu au mbilikua mvumilivu mkuu bado wanarekebisha,.