Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Ila wana option tamu sana mimi hawa ndo naongoza kuwala!! Yanii wamenipa hadi mke ha ha haMara nyingi weekend server yao huu inazidiwa.
Ila wana option tamu sana mimi hawa ndo naongoza kuwala!! Yanii wamenipa hadi mke ha ha haMara nyingi weekend server yao huu inazidiwa.
Bet itakua lost iwapo Away team atashinda na home team hata pata goliWakuu msaada hii option hapa chini, itakuwaje game ikiisha 0-0?
Chievo - Entella
Win to Nil Away Team - FT (No) 1.06
Weka pesa usiogope ngoja nikutulia nitakusukia bomu moja la hatari sana hawezi choma andaa pesa tu kesho ukanunue bati za nyumba yako mpyaNilikua natafuta odds 10+, hapa nimefika..
Sawa mkuu all the best ila baadaye nitashusha nondo kali sana hapaMkuu huu mkeka nauwekea laki, nauona una dalili njema kabisa. Bonus yako utaipata
Weka pesa usiogope ngoja nikutulia nitakusukia bomu moja la hatari sana hawezi choma andaa pesa tu kesho ukanunue bati za nyumba yako mpya
Game leo zimekaa hovyo sana, save ur stake kwaajili ya uefa league kesho
50/50
Stake what you can afford to lose View attachment 1272559
Na zimewagharimu sanaSema nashauri hii ya genoa, possibility ya red ipo maana Genoa ana mchezo wa nguvu sana. Mwezi uliopita alipata red cards 4. Ila mwisho wa siku hii ni betting, lolote laweza tokea.
Possibility ni kubwa sana wotw kwa pamoja mpaka sasa wana avarege ya foul 13 per game genoa anawastani wa yellow 5 per game unaweza ona jinsi hiz team ni shoka kweliSema nashauri hii ya genoa, possibility ya red ipo maana Genoa ana mchezo wa nguvu sana. Mwezi uliopita alipata red cards 4. Ila mwisho wa siku hii ni betting, lolote laweza tokea.
Poa mkuu ila uefa mimi huwa napenda odds kuanzia kumi maana ni siku ya pesa tuTunasubiri mkuu
Mwendo wa magoli tu
Ivi meridian bet ina airtel money
Ni voda na tigo
We jammaaa ni hatari sana BASIASI nilifuata game yako moja imetoa yani nihatari tupu tupe vituGold Vip Fixed Match From Source.
★BULGARIA LIGA
★505 - Botev plovdiv Vs Etar Veliko Tarnovo
★Correct score - 3:1
★Odds -9.50
Match Fixed From Source.
Anywhere you see this match,understand that it has been copied from here.
Ni voda na tigo
WONWakuu msaada hii option hapa chini, itakuwaje game ikiisha 0-0?
Chievo - Entella
Win to Nil Away Team - FT (No) 1.06