Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kuna mwaka niliwala meridiana 3m sasa kilichotokea story story siku hiyo niliamka na hasira niakenda kwa tarimba kipindi hicho gamin board bado mbona waliitwa na wakanipa 10% ya usumbufu ...cha msingi screen shoot msg zao na mkeka wako wana michezo ya kufuta mkeka uliyoshinda andika namba ya mkeka pembeni ...zikifika siku saba nenda ka claim pale utapewa na cha juuAisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1272410