Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
AiseeeHana lolote huyu jamaa tatizo ana stake elfu mbili kila odd mbili asa c anatuzingua tu nakutupotezea muda
AiseeeHana lolote huyu jamaa tatizo ana stake elfu mbili kila odd mbili asa c anatuzingua tu nakutupotezea muda
Hana lolote huyu jamaa tatizo ana stake elfu mbili kila odd mbili asa c anatuzingua tu nakutupotezea muda
Hawa Parimatch leo vpi? Wanachelewa kulipia bets ninazo shinda, nani mwingine kakutana na huu usumbufu?
Lakini nibora uyu anavyo chukua tahadhariMkuu anaogopa yasije kumtokea kama mkuu void mzee wa wa stake ndefu.. mpaka sasa void hatumuoni humu
Aiseee
Weka milioni 10 mkuuLakini nibora uyu anavyo chukua tahadhari
Dah! Ngoja tuvute subiraMm pia mkuu ad sasa awaja update
Naomba app ya 22betWeka milioni 10 mkuuView attachment 1273563
Tumia Chrome kwenye PC kisha tafuta Extension ya Hola VPN, upate access ya website yao udownload mkuuNaomba app ya 22bet
Kwa simu nifanyaje?maana naambiwa haipo nchini kwanguTumia Chrome kwenye PC kisha tafuta Extension ya Hola VPN, upate access ya website yao udownload mkuu
sungura huyo ni shidaaaaaWe inakuuma nini, jamaa bure kabisa wew.
gala anachana tren letu
Wakuu naomba tuwe na tahadhari ya hali ya juu na timu za namna hii. Hizi timu hata livescore matokeo hawaweki. Jina petrolul kaninyima pesa hivi hiv na alikuwa na 1.13.. huwa wana tabia ya kupanga matokeo hawa..
Ligi za kuogopa ni cyprus dv 2, romania dv2, ukraine dv 2 na vi nchi vidogo vidogo vya ulaya mashariki hasa ligi zao za madaraja ya chini, wanapanga sana matokeo...Wakuu naomba tuwe na tahadhari ya hali ya juu na timu za namna hii. Hizi timu hata livescore matokeo hawaweki. Jina petrolul kaninyima pesa hivi hiv na alikuwa na 1.13.. huwa wana tabia ya kupanga matokeo hawa..
Wakuu naomba tuwe na tahadhari ya hali ya juu na timu za namna hii. Hizi timu hata livescore matokeo hawaweki. Jina petrolul kaninyima pesa hivi hiv na alikuwa na 1.13.. huwa wana tabia ya kupanga matokeo hawa..
Kwa simu sifahamu, nenda play store then search Hola Free Proxy ujaribu kama itakubaliKwa simu nifanyaje?maana naambiwa haipo nchini kwangu