Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naomba tuwe na tahadhari ya hali ya juu na timu za namna hii. Hizi timu hata livescore matokeo hawaweki. Jina petrolul kaninyima pesa hivi hiv na alikuwa na 1.13.. huwa wana tabia ya kupanga matokeo hawa..
 

Attachments

  • IMG_5002.jpg
    19.1 KB · Views: 17
Wakuu naomba tuwe na tahadhari ya hali ya juu na timu za namna hii. Hizi timu hata livescore matokeo hawaweki. Jina petrolul kaninyima pesa hivi hiv na alikuwa na 1.13.. huwa wana tabia ya kupanga matokeo hawa..

Labda kama maelezo yako hayana uhusiano na picha

Lakini matches za Scotland huwa zipo livescore na matokeo pia yapo
 
Wakuu naomba tuwe na tahadhari ya hali ya juu na timu za namna hii. Hizi timu hata livescore matokeo hawaweki. Jina petrolul kaninyima pesa hivi hiv na alikuwa na 1.13.. huwa wana tabia ya kupanga matokeo hawa..
Ligi za kuogopa ni cyprus dv 2, romania dv2, ukraine dv 2 na vi nchi vidogo vidogo vya ulaya mashariki hasa ligi zao za madaraja ya chini, wanapanga sana matokeo...
 
Locomotive namdai kona 2 tu.
Lakini naona anakata mauno tu na dk zinayoyoma
 
Na hiyo mechi Raith Rover Ana shinda vizuri tu
Wakuu naomba tuwe na tahadhari ya hali ya juu na timu za namna hii. Hizi timu hata livescore matokeo hawaweki. Jina petrolul kaninyima pesa hivi hiv na alikuwa na 1.13.. huwa wana tabia ya kupanga matokeo hawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…