Emperor of the South
Senior Member
- Nov 4, 2019
- 140
- 154
Hivi haka kamekaaje? Nmekabeba tu h2hstats
hahaaa kwanini Mkuu?Wee mchawi
Pole mkuu
Karibu jukwaani kwa mara nyingine tena tuendeleze mapambano mkuu Void ab initioIn play; Besiktas Match over 0.5HT
Pamoja mkuuKaribu jukwaani kwa mara nyingine tena tuendeleze mapambano mkuu Void ab initio
Na washaongeza la pili hahaaa... la tatu linanukiaWee mchawi
Pamoja mkuu nasubiri sana treni lingine hakuna kukata tamaa this is game, this is businessNiaje arifu?
nilikua chimbo kidogo maana hii week matreni yangu yote yameanguka kwa team moja moja
but no problem, we can win next week
Hhahah mkeka wangu unapumua, muda si mrefu tutaonana kwa wakalaNa washaongeza la pili hahaaa... la tatu linanukia
Napenda kuamsha wote tumtafuteni kanji kwa nguvu na hali mpya.Mkuu
Mkuu tunasubiri nondo zako.Niaje arifu?
nilikua chimbo kidogo maana hii week matreni yangu yote yameanguka kwa team moja moja
but no problem, we can win next week
hahaaa kwanini Mkuu?
safi karibu mkuu watu wamekuulizia sana humuIn play; Besiktas Match over 0.5HT
Lete hilo tren mkuu tudeseNiaje arifu?
nilikua chimbo kidogo maana hii week matreni yangu yote yameanguka kwa team moja moja
but no problem, we can win next week
Pamoja mkuusafi karibu mkuu watu wamekuulizia sana humu
Niaje arifu?
nilikua chimbo kidogo maana hii week matreni yangu yote yameanguka kwa team moja moja
but no problem, we can win next week
La tatu tayari, Aiseee dakika ya 41 hahaaa😅😅😅Na washaongeza la pili hahaaa... la tatu linanukia