Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani mnsompa city direct win tafadhalini sana tena sana...nitarudi na sentesi hii baadae
 
Nielwkeze maujanja namna ya ku share mkuu
Ukimaliz kutandik mkeka mkuu mwisho huwa zina kuja icon za social medi kama WhatsApp,Facebook...so cha kufanya una share na moja kati ya hzo hata kwa kujitumia ukipata ile link una icopy then unapaste kwenye uwanja wa msg wa hapa mambo yana kuwa safi kama hivi I can win 6 056.98 TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
 
So mtu akija kaz yake ni kuweka tu stake hapangi tena mkeka so ni rahisi sana kwa ana weka mkeka。
 
Nimekuelewa mkuu, ila nimejidhihirsha na
mikeka ya jamaa win na lose zote zilikuwa
openly hasa mwanzon Mwa ligi zlivoanza alikula loss za kutosha,

Kuhusu; kuchange plan baada ya loose na kuanza kwenda randomly hapo ndo tunafeli weng;

Choose ur strategy then stick to ur plan
-- no matter what everything is ready inside You
 
Anaitwaje huyo mmarekani tumsearch mkuu huko youtube tupate maujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…