Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hii betting itatuuwa sasa kila siku zinatoka zetu tu na kuacha napo siwez daa kesho siku tena ntagoma ila baadae unapanga Odd ***** what a *** night
 
Ilikuwa kujilipua,Thanks 275000 faida,1m stake.
Ahsante Man city
Screenshot_20191204-044635_Chrome.jpeg
 
MIKEKA YA KUCHOREA FAST KWENYE SIMU HII DAAAAH YAAN OPTIONS YA TNS NILIJUA NI SAWA NA MAN CITY AISEEE .BORA KUCHOREA PALE PALEPALE DUKAN...ANGETOA TNS NILIJUA NAAAMKA NA HELA YA YA BIA KUMBE KWA MAN CITY SIKULAZA 2&II2+...UZembeee aiseeeee odds 100+ za Jana Kama uliedit tns na man City win umekulaaaaa
Screenshot_20191204-055857.png
 
Habari za asubuhi wadau,kwanza nawapa hongera kwa kufanya huu Uzi uwe active na tips za ukweli,Kuna ushuri nataka niwape baadhi yetu ambao tunatupa pesa kuliko kupata,najua tunapenda kuwin hela kubwa hakuna ambaye hapendi,yes hata mm huwa na aim kuwin million Ila tatizo hautakuwa consistent utalose Sana kuja kuwin hela kubwa kwa stake ndogo,ndio ndani ya wiki mbili hz nishakula 2.4 m kwa makokoro ,Ila system nzuri sio hii wadau system nzuri Ni single bet amini utakuwa kwenye financial position nzuri,ok kun mdau huwa anatoa prediction za ov 2.5 kwa single bets nishamfuata Sana na kweli naona faida,unaweka mzigo elf 20 unawin 35 Safi kabisa
Ok tumeongea Sana prediction za this week kwenye hii system yetu ya single betn hizi
06/12/19
  • Eintracht Frankfurt v Hertha BSC - 19:30
07/12/19
  • Borussia Dortmund v Fortuna Dusseldorf
  • Jaman tuache tamaa Ni single bet kwa 20 ,najua Kuna wale wanaona odd ndogo Basi hata ukiaccumulate zisizidi mbili
 

Attachments

  • Screenshot_20191204-063201.png
    Screenshot_20191204-063201.png
    33 KB · Views: 15
  • Screenshot_20191204-063054.png
    Screenshot_20191204-063054.png
    33 KB · Views: 12
Back
Top Bottom