Jk12
JF-Expert Member
- Feb 24, 2019
- 702
- 1,151
Ni kweli mkuuuHuwa nawaambia watu hizi buku mbili, tano unazoliwa kila mara bora ujichange ifike laki mbili uanze kubet kisasa. Mimi bora nikae miezi miwili sijabeti mpaka nipate laki 2 ya mtaji. Otherwise nitamchangia muhindi tu.
Halafu betting inatengeza addiction kama ya mvuta unga. Ukiona unabet kila siku chukua taadhali mapema.