albert_speer
Senior Member
- Nov 26, 2019
- 167
- 153
meridianbet.co.tzHivi hii ni kampuni gani
meridianbet.co.tzHivi hii ni kampuni gani
Total odds??Hivi hii ni kampuni gani
WAKALI WA HIZI KAZI HESHIMA KWENU
LEO NAOMBA MNISAIDIE NI KAMPUNI IPI YA BET INA OPTIONS NYINGI NA NZURI
YENYE OPTION NYINGI
YENYE URAHISI WA KUTUMA NA KUTOA PESA, URAHSI WA KUJISAJILI
HATA KAMA NI YANJE LAKINI IWE INARUHUSU TRANSACTIONS KWA KUTUMIA MITANDAO YETU YA VODA,TIGO NA AIRTEL
NTAFURAHI SANA ENDAPO MTANISAIDIA WAKUU,JAPO MAKAMPUNI MATATU TUU...
odds 15.35 za moto[emoji95][emoji95]View attachment 1281410
Sawa ... nobody knows. Tunabashiri tu !Leo mourinho anaweza akafanya Yale ya unai meeeeeeee na poch
Sassuolo kwenye serie A ni wa 14 na point 14 wakati perugia kwenye msimamo wa serie B ni wa 5 point 22 anayeongoza ana point 32Sassuolo kwa nini wamepewa odds nyingi
Sassuolo kwa nini wamepewa odds nyingi
Hapo kwenye BTS weka 2+Mkeka wangu wa leoView attachment 1281312
Sawa.. endelea kurisk elfu tano ili upate faida ya laki mbili.Kurisk milioni 1 kwa faida ya laki 2 HAPANA KWA KWELI
Mkuu nivizuri kabla ya kubet kuangalia msimamo wa ligi, currently form ya timu na head to head nkSassuolo kwa nini wamepewa odds nyingi
Sassuolo kwenye serie A ni wa 14 na point 14 wakati perugia kwenye msimamo wa serie B ni wa 5 point 22 anayeongoza ana point 32