Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Treni ndo uchawi unaofanya tunampa pesa Khanji na mzungu daily, nilijaribu jana kubet match 1 na mkeka mwingine matches 2 NIMEPATA PESA YA SUPU. KULA KUPO kwa mfumo huo ila ukiweka treni tu risk ni kubwa. Ndo maana BETPAWA wana mbinu yao ya kuzidisha BONUS hadi 250% kadri unavyotengeneza treni. SIBETI MATCHES NYINGI TENA
 
Kama una mtaji kuanzia 1m wewe usipokula 200k per day aiseeee nitakushangaaa odds 3+ kwa laki au odds 5 kwa 50k
Makokoro tunatafutia mtaji mfano hili hapa stake 40 vuna 24m mpaka Europa
Ukitaka zipeleke meridian kaweke 2-6 na
1+1
Mimi nimejiwekea utaratibu huu.. mpaka jana ilikuwa siku ya nane nampiga mhindi kuanzia laki moja mpaka mbili kila siku. Ila nafocus sana inplay.
 
Mkeka wangu wa leo
Screenshot_20191204-103823.jpeg
 
Toka huu uzi umeanza hadi leo moja ya ushauri ambao unatolewa sana sana na kila aina ya wadau na una sahaulika haraka sana ni TAMAA
TAMAA kwa maana ya kuweka game nyingi kwenye mkeka mmoja ili upige parefu

Ushauri mwingine unaotolewa sana humu ni wadau wengi kupendelea zaidi option ya direct win haswa kwa team kubwa na kuziweka kwenye mkeka mmoja

Utafiti wangu binafsi unaonyesha kuna makundi mawili
Mosi, wacheza kamari
Pili, wajasiliamali wa kamari

Tunakumbushana tu
 
True fact
 
Kama una mtaji kuanzia 1m wewe usipokula 200k per day aiseeee nitakushangaaa odds 3+ kwa laki au odds 5 kwa 50k
Makokoro tunatafutia mtaji mfano hili hapa stake 40 vuna 24m mpaka Europa
Ukitaka zipeleke meridian kaweke 2-6 na
1+1
Huwa nawaambia watu hizi buku mbili, tano unazoliwa kila mara bora ujichange ifike laki mbili uanze kubet kisasa. Mimi bora nikae miezi miwili sijabeti mpaka nipate laki 2 ya mtaji. Otherwise nitamchangia muhindi tu.

Halafu betting inatengeza addiction kama ya mvuta unga. Ukiona unabet kila siku chukua taadhali mapema.
 
Booking number Z3MBWHBH found.

Selections added to the betslip
2421Azerbaijan Cup
Sabah - Agsu
Over(2.5)1.26
2513Bulgarian Cup
Septemvri Sofia - Ludogorets 1945 Razgrad
Over(2.5)1.36
2436Azerbaijan Cup
Zira - Qaradag Lokbatan
Over(2.5)1.19
Multiple
RESET100 ₦500 ₦1000 ₦2500 ₦
Odd2.40
 
Selections added to the betslip
2513Bulgarian Cup
Septemvri Sofia - Ludogorets 1945 Razgrad
21.22
2708Turkiye Kupasi
Hekimoglu Trabzon - Istanbul Basaksehir
X21.09
2389Cyprus Cup
Akritas Chlorakas - Doxa Katokopias FC
Over(2.5)1.26
1457Campionato Primavera 1
Inter U19 - Bologna U19
Over(2.5)1.38
1439Campionato Primavera 1
Atalanta U19 - Empoli U19
Over(2.5)1.38
2436Azerbaijan Cup
Zira - Qaradag Lokbatan
Over(2.5)1.19
2421Azerbaijan Cup
Sabah - Agsu
Over(2.5)1.25
2411Cyprus Cup
Apollon Limassol - Aris Limassol FC
Over(2.5)1.14
Multiple
RESET100 ₦500 ₦1000 ₦2500 ₦
Odd5.41
 
Back
Top Bottom