Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sikuwa najua kama arsenal anacheza kesho. Sasa mechi zote zimeshatoa bado tu huyo arsenal kesho.... Je, mkicheki hapo kwenye huo mkeka Hiyo mechi ya Arsenal patapatikana goli mbili? Au ni cash out hiyo amount?View attachment 1282078
Mzee beba hiyo 49 faida, mambo ya kusubir upate nying hlf timu husika haielewek mda mwngn ni presha;
Mkeka unaeza kubali ila tahadhari pia ni muhimu!
 
[emoji848]hili treni ni hatari tupu j2 linafika kigoma

Safari inaanza kesho.

Stake: Elfu 3000 Est.payout 3,95926[emoji848]


Total matches 13

Odds 106

Dua Zenu[emoji855]
Mkuu hujanijib huyo jamaa wa youtube anaitwaje nimpitie.
 
Leo kiivo tyuu wakuuu
IMG-20191205-WA0005.jpeg
 
Back
Top Bottom