Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

JAMANI KATIKA PITAPITA ZANGU HUKO KWENYE MA-DARK DEEP WEB NIMEKUTANA NA KITU HIKI CHA KUSTAAJABISHA.......JAMANI NI KWELI LEO BARCELONA ANASHINDA??.....KWELI????.....EBU JAMANI NAOMBA WENYE KUJUA KUDADAVUA WATUJULISHE LEO BARCELONA ANASHINDAJE LEO KWA MFANO!!??....JAMANI MKEKA WANGU NIMESHANDAA NA BARCELONA NIMEWAWEKA!.....INABIDI NIWAONDOE....BAADA YA KUONA HIKI KITU HAPA CHINI!.......INGAWA SIKIAMINI KABISA .....HAPO NI KUPOTEZA PESA TU....INGAWA NASHAWASHIKA KUUFUTA VILE ULIVYO LAKINI NAOGOPA SANA ....MIHEMUKO!!!!...AHAAAA!
View attachment 1287876
Dah, huu mkeka kama nimeuelewa hivi, sema tu nilikoweka hela hawana hii option aisee
 
Inplay
Uefa
Salzbug vs liver
First to happen Offside/card between 21-25min- NONE

Odds: 1.27
 
Inplay
Uefa
Salzbug vs liver

Corner first half: liver over 2 corners

Odds: 1.40
 
Tukae hapo pesa hio
IMG-20191210-WA0015.jpeg
 
Back
Top Bottom