Dah, huu mkeka kama nimeuelewa hivi, sema tu nilikoweka hela hawana hii option aiseeJAMANI KATIKA PITAPITA ZANGU HUKO KWENYE MA-DARK DEEP WEB NIMEKUTANA NA KITU HIKI CHA KUSTAAJABISHA.......JAMANI NI KWELI LEO BARCELONA ANASHINDA??.....KWELI????.....EBU JAMANI NAOMBA WENYE KUJUA KUDADAVUA WATUJULISHE LEO BARCELONA ANASHINDAJE LEO KWA MFANO!!??....JAMANI MKEKA WANGU NIMESHANDAA NA BARCELONA NIMEWAWEKA!.....INABIDI NIWAONDOE....BAADA YA KUONA HIKI KITU HAPA CHINI!.......INGAWA SIKIAMINI KABISA .....HAPO NI KUPOTEZA PESA TU....INGAWA NASHAWASHIKA KUUFUTA VILE ULIVYO LAKINI NAOGOPA SANA ....MIHEMUKO!!!!...AHAAAA!
View attachment 1287876
***BET WOOON***Inplay
Uefa
Salzbug vs liver
First to happen Offside/card between 21-25min- NONE
Odds: 1.27
hahahaha sungura jibu hilo swali ni zuri sana maana najiuliza kwa rangi pekeyake hiyo 700k inafikaje kwa stake za 1000 na 2000Sungusungu kwani wewe unacheza rangi tu au unachanganya na namba?
Hii game imekaa vibaya sana kwa ss wazee wa magoli, jamaa wanaangaliana tu kama majogooHii Game ya Salzburg na Liverpool inanipa Goosbumps Sana
mkuu naona uliselect namba kibao, hapo stake ilikuwa kias gani?View attachment 1288014Cc sungusungu Tunajikongoja tunakuja...
Mbna muda mwingine unaweka buku 4 Hadi buku 8
****BET WOON***Inplay
Uefa
Salzbug vs liver
Yellow card first half: liver under 0.5
Odds: 1.35
Na kona hawapigi kbs ...Hii game imekaa vibaya sana kwa ss wazee wa magoli, jamaa wanaangaliana tu kama majogoo
mimi washanichania kona 5 tu 1st half hawajatoa hii si kawaida ya Liverpool kuna namna hapaNa kona hawapigi kbs ...
LostInplay
Uefa
Red bull vs Liver
Fouls first half: liver over 1.5
Odds: 1.72
LostInplay
Uefa
Salzbug vs liver
Corner first half: liver over 2 corners
Odds: 1.40
LostInplay
Uefa
Salzbug vs liver
Corner first half: liver over 2 corners
Odds: 1.40
hii kucheza kwake ina muda maalum au pale unapo place bet ndo hapo hapo unachezaView attachment 1288014Cc sungusungu Tunajikongoja tunakuja...