Pale juu kuna selection ....statistic ...na table.Hizo namba kwenye picha ya pili umezipataje,,, yaani umefanyaje kuona hot na cold numbers?
Sent using Jamii Forums mobile app
Link hiyo nimeditNgoja nami nijaribu leo hii
Baada ya kuokoteza humuhumu na kwingineko
Kokoro hilooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu iyo wez haoNaomba kujua hizi tips za fixed matches wanazo uza kwenye magroup hua ni za kweli? nan kasha fanikisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
***BET WOON***Inplay
Ukraine u21
Zorya vs shaktar
Shaktar to score- Yes
Odds: 1.55
Sent using Jamii Forums mobile app
***lost**Inplay
Australia
Perty vs Western
Yellowcard first half: total over 1.5
Odds: 1.53
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna mdau anapata taab ya kulog in PARIMATCH? naona kwangu inanigomea
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma zaidi nimemaliza kuweka hela nilog in sasa ndio nkakutana na tatizo hili
Mkuu inaonekana unamtafuta sana kanji,Hivi jamaa wa IT kwenye makampuni ya kubet hawawezi kuuza tips za kuwin. Kwa kuangalia mechi ipi wateja wameibet sana na mechi ipi wateja wameweka stake kubwa sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo linashughulikiwa mkuu. Soon itakuwa sawaHivi kuna mdau anapata taab ya kulog in PARIMATCH? naona kwangu inanigomea
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi kwangu inagoma piaHivi kuna mdau anapata taab ya kulog in PARIMATCH? naona kwangu inanigomea
Sent using Jamii Forums mobile app