Yna aika
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 350
- 1,020
izi link zote hazifunguki kabisahttps://www.betpawa.co.tz/create-share-link-wu-625804923 Tunatest mitambo mechi chache tu
Sent using Jamii Forums mobile app
izi link zote hazifunguki kabisahttps://www.betpawa.co.tz/create-share-link-wu-625804923 Tunatest mitambo mechi chache tu
https://www.betpawa.co.tz/create-share-link-wu-625804923 Tunatest mitambo mechi chache tu
Invalid bet slipNgoja nami nijaribu leo hii
Baada ya kuokoteza humuhumu na kwingineko
Kokoro hilooo
Bet Small, Win BIG | Online Sports Betting | betPawa
www.betpawa.co.tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna wahindi wako dark web wanauza fixed za criket. Jamaa ndio biashara yao wameanzisha Hadi mashindano makubwa ya criket kule Abu Dhabi ambayo mechi zote zimepangwa kila matukio kwa script kwa hiyo hupati matokeo tu.. wanakupa kuanzia kipute kinapoanzia Hadi mwisho wake.Mkuu sikushauri kwenda huko hao nigerians na wakenya ni matapeli tu, fixed zipo ila huwezi zipata huko telegram, zipo zinauzwa huko darkweb lakini ni ngumu Kupata wengi wao ni matapeli, mkuu ni ngumu sana kuingia ktk hiyo inner circle ya hizo fixed .......
Kumbe kuspinn ndio inafanyika hivi. Kwakweli hapa hakuna ujanja ni bahati tu. Maana huwezi kufanya analysis yoyote hapo. Tofaut na kutandika janvi unaweza kwenda hata ukapitia statistics za nyumaWazee wa Spin jimmy na sungu mtusaidie
hapo [emoji23][emoji23][emoji23], ilo gurudumu linamwangkia nanView attachment 1291984
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naweka 50k ukitiki ya soda ipoUnited[emoji736]
Spurs[emoji736]
Madrid[emoji736]
Barca[emoji736]
Atletico[emoji736]
Napoli[emoji736]
Inter[emoji736]
Dortmund[emoji736]
PSG[emoji736]
Lyon[emoji736]
Ajax[emoji736]
Odds 356
I can win 714K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Waungwana hebu kama kuna mchawi hapa achomolewe kwa huu mkeka, nmejaribu View attachment 1292017
Nimeganda na red kwa kudouble stake 500..1000...2000..4000...8000..dau la mwisho 4500. Elfu 20 nlowin Jana usiku kwenye football imeondoka Leo asubuhi kwenye spin. Sio poa hill dude.
Waachien wenye utaaalmu. Hats niwe na laki Tisa si stake hata 300.
Possible win 17,800,000/=
Hivi dark web ndo niniMkuu kuna wahindi wako dark web wanauza fixed za criket. Jamaa ndio biashara yao wameanzisha Hadi mashindano makubwa ya criket kule Abu Dhabi ambayo mechi zote zimepangwa kila matukio kwa script kwa hiyo hupati matokeo tu.. wanakupa kuanzia kipute kinapoanzia Hadi mwisho wake.
Ila ubaya wao wanataka watu wenye mzigo yaani wakiimpa fixed akiweka hela anamfua kanji balaa. Na unawalipa baada ya kumtamdika mhindi(bookmaker). Hawa ndio legit fixed match wa ukweli ninao wajua.
Wengine wanatoka East Europe wanafix mechi za ligi daraja la pili za German league fresh bila zongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni elaOzaaa ozaaa, odds 7 za moto hizoo[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Liverpool win
Fc koln -bayer Leverkusen over 1.5
Mainz-dortmund over 1.5
Dusseldorf -RB Leipzig over 1.5
Napoli-Parma over 1.5
Sociedada -Barca over 1.5
Leicester win
Atletico madrid win
Bayern Munich-werder Bremen over 2.5
Sheffield Utd -Aston Villa over 0.5
Burnley-Newcastle over 0.5
Leeds-Cardiff over 0.5
Brentford-Fulham over 0.5
Total odds 7.25
Hii option inapatikana wapi mkuuSINGLE BET 02
UEFA
Bayern vs Totenham
At anytime,
Bayern will play at minimum over 7.5minutes in a row without a goal in a MATCH- YES
Odds: 1.80
Mkaushe mzee Baba...