Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
Pari ni washenzi Sana nilikula paka 60 kutoa pesa ikagoma nikacheza nikapigwa zote
Bango ni kuuubwaa
Kubwaaaasana nimepata 183k nimekosa 1.3mBango ni kuuubwaa
Usisahau Kushare Nasi Progress Ya Huo Mtaji Mpya.
We Learn A lot From You
SUNGUSUNGU
Sijui niweke 500k hapa[emoji4]Juve win
Madrid win
6.05 odd
Tukutane saa sita usiku
APA stake ni 256,000= doh ingepigwaView attachment 1288243Daaaah aise[emoji30][emoji30]
Sababu ya pesa kugoma kutoka ni ipi hasa?Pari ni washenzi Sana nilikula paka 60 kutoa pesa ikagoma nikacheza nikapigwa zoteView attachment 1288376
Sungu Sungu Fuata Ushauri Wangu Mkuu
siku izi mkuu hau share mikeka yako,.watu tulikua tunatembelea nyota yakoKubwaaaasana nimepata 183k nimekosa 1.3m
mkuu nakumbuka Jimmy scami alikuonya mapema kwamba uwe unatoa kias fulanKanikombea laki nane zangu kuna pepo liliniingia nika change mfumo daaaah
Wakuu i have learnt somethn
Kilicho niponza siku ya leo ni tamaa nilitamani kuifikia milion withins min afi kupelekea kuliwa laki nane yote
Nilicho kiona kama hauna tamaa utatajirika kupitia spin but otherwise unafilisika
Sasa nimeanza upya nime deposit sio muda 245k nimerudi kwenye stake za 500 na sasa nina 280k
Naamini nitarudi mchezoni[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
dah pole sana kamandaCwez lia mkuu ana nime deposit laki mbili na elfu45 naanza upya natudi ktk system yangu nimekubali nimepoteza na nimezd kujifunza kitu
Stake what u can afford to loseSijui niweke 500k hapa[emoji4]