Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole Sana Mkuu

Kama Unayoyasema Ni Ya Ukweli

Basi Inawezekana Hata Ulilia.
Inawezekana kabisa, kuna post kashare kashinda 512,000 means alistake kama 256,000. Kwa stake hizo ukispin mara 4 tu huna kitu. Halafu huo mchezo kuna muda huwa unakulia tu timing, unaona kabisa saizi Black unakuja unapandisha dau kitu kinakuja Red, unaingiwa tamaa za kurudisha ulichopoteza ukiamini kabisa kwa namna yoyote Black ndio rangi inayokuja unashangaa li-Red hilo tena.
 
Sio rahisi ila inawezekana.
Betting inahitaji kusikiliza hisia zako na uhalisia pia.
Sio kila mara uhalisia unaku favor wakati mwingine hisia zako zinakufavor.
mf. ukiamka angalia timu za siku hiyo kwa source yoyote ile lazima kuna timu moja mbili hadi tatu utajisemea hii ni draw hii gg hii over hii itatoa hivi hapo utaku na 85% ya kuwin.
Ila kikubwa kinachotushinda kwenye hii biashara ni KUISHINDA TAMAA.

Mf. weekend hii nilimwambia rafk yngu bayern lose juve lose Liverpool na spurs win akaniambia kwa juve na bayern pagumu (mpaka hapa ule muono wangu ukafifishwa).
Wakat mwingine sikiliza hisia zako changanya na uhalisia ingia kwenye biashara.

TUKIWEZA KUIISHINDA TAMAA, TUNAWEZA KULA MARA HATA TANO MPAKA SITA KWA WIKI.
Tamaa ni mchawi mkubwa wa BETTING
 
Inawezekana kabisa, kuna post kashare kashinda 512,000 means alistake kama 256,000. Kwa stake hizo ukispin mara 4 tu huna kitu. Halafu huo mchezo kuna muda huwa unakulia tu timing, unaona kabisa saizi Black unakuja unapandisha dau kitu kinakuja Red, unaingiwa tamaa za kurudisha ulichopoteza ukiamini kabisa kwa namna yoyote Black ndio rangi inayokuja unashangaa li-Red hilo tena.

Ndicho kilicho nitokea mkuu
Nikataka niingie milioni kwa nusu dakika maana nilikuwa na laki nane daaaaah
 
BANGOOOOO
Screenshot_20191211-054337.png
Screenshot_20191211-054337.png
Screenshot_20191211-054038.png
 
Back
Top Bottom