Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

INPLAY Kazakstan Premier League [emoji459] Tip

TP Over 163.5

Adjustments.JPG
 
Mimi huu mchezo nimeuelewa ila unahitaji mtaji mkubwa kwa kuanzia ili kujihakikishia kutokuliwa pesa. Nimejaribu kwa vi mtaji vya 5K mwisho wa siku inapanda ila badae unashuka kwa kasi na katika kudouble unajikuta unaishiwa stake unashindwa kudouble na unakua umetoka kwenye game.

Kitu kingine nimeona ni vema kuwa unacheza kwa interval ya Muda, kwa mfano unacheza ndani ya dak 10 alafu unaacha unacheza badae tena kama baada ya lisaa moja (hii ni kwa wenye mitaji midogo make nimeona kadiri unavyocheza consecutively bila kuacha issue inazidi kuwa complicated na kama ni mchezo wa rangi inakuwa inajirudia rangi moja na inaweza kwenda hata mara kumi Kitu ambacho ni very risky)

Pia nimejifunza kuhusu kujiwekea profit plan na loss limit.. kwamba unapanga nikila kiasi fulani naacha kwanza alafu nitacheza badae (hata kama ni one hour later) au nikiliwa kiasi fulani naacha ili niitafute bahati baadae.

Otherwise nimeona ni mchezo wenye uwezo wa kumpa mtu hela ila ni ngumu sana kama utakaa ucheze kwa muda mrefu bila kupumzika - utaliwa vibaya sana.

Mimi nikipata pesa ya mtaji nimepanga kujiwekea sheria hizi kwenye huu mchezo:-
1. Nikiwa na mtaji wa 5000 nitaweka profit plan ya 2000 kila muda nitakaocheza na loss limit ya 2000
2. Nitakuwa najipa masaa mawili kabla ya kucheza tena.
Hizo ndio zitakuwa sheria zangu kuu.

Lakini bado nina mengi ya kujifunza kwenye hii kaliba ambayo natamani nijenge kibanda kabisa. Tuzidi kupeana maujanja wale wapenzi wa hii spinning game...

Nakushukuru sana sungusungu kwa kushikilia vyema bango la spinning. Soon tutakuwa pamoja
Na kingine ukicheza gurudumu likawa linaenda kasi bila kukwama huo ndio muda wa kumla kanji ila ukiona linaenda kwa kusita sita achana nalo linakua linapanga matokeo livutie pumzi ulicheki baadae.
 
Sungu Sungu Fuata Ushauri Wangu Mkuu

Jiwekee Picking Point Na Point Of Return

Picking Point: Unasema Ikifika Profit 50k Naitoa, So Kwa Siku Ukifanya With Draw 10 Ushampoteza.

Point Of Return: Mfano Umeweka Buku Haijatoa, Mara 2 Haijatoa, Mara 2 Tena Sema Hapa Mwisho Kama Ulikuwa Kwenye Elfu 32000 Baki Hapo Hapo Weka Tena 32000 Usizidiahe Mara Mbili Lengo Hapa Ni Ku Secure Capital Ili Uweze Kukaa Kwenye Game For Long Term.

Just Ushauri Tu.

Mkuu nimekuelewa sana
 
Wakuu i have learnt somethn
Kilicho niponza siku ya leo ni tamaa nilitamani kuifikia milion withins min afi kupelekea kuliwa laki nane yote
Nilicho kiona kama hauna tamaa utatajirika kupitia spin but otherwise unafilisika
Sasa nimeanza upya nime deposit sio muda 245k nimerudi kwenye stake za 500 na sasa nina 280k
Naamini nitarudi mchezoni[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Pole rafiki yangu,me mwenyewe wewe ndio umenifanya nihamie rasmi kwenye mchezo huu,nilikuwa napigwa sana football ila sasa hivi atleast me ninachokifanya kila hela inapoongezeka tu natoa yote na nafanyia mahitaji nabakiza mtaji tu.Unakuta asubuhi nimeanza na elfu 10 ila kufikia jioni nakuwa nimewithdraw elfu 10 zaidi ya mara tano,so mwisho wa siku hata mtaji ukipigwa wote nakuwa na faida mara 7 hadi 8,pesa nyingi kwenye hizi account inaleta tamaa ya kupata kikubwa zaidi tofauti na uhalisia,pia inakupa kujiamini na kutokuwa na uchungu nayo hivyo inapoteza umakini,all in all pole sana Boss.
 
Mimi huu mchezo nimeuelewa ila unahitaji mtaji mkubwa kwa kuanzia ili kujihakikishia kutokuliwa pesa. Nimejaribu kwa vi mtaji vya 5K mwisho wa siku inapanda ila badae unashuka kwa kasi na katika kudouble unajikuta unaishiwa stake unashindwa kudouble na unakua umetoka kwenye game.

Kitu kingine nimeona ni vema kuwa unacheza kwa interval ya Muda, kwa mfano unacheza ndani ya dak 10 alafu unaacha unacheza badae tena kama baada ya lisaa moja (hii ni kwa wenye mitaji midogo make nimeona kadiri unavyocheza consecutively bila kuacha issue inazidi kuwa complicated na kama ni mchezo wa rangi inakuwa inajirudia rangi moja na inaweza kwenda hata mara kumi Kitu ambacho ni very risky)

Pia nimejifunza kuhusu kujiwekea profit plan na loss limit.. kwamba unapanga nikila kiasi fulani naacha kwanza alafu nitacheza badae (hata kama ni one hour later) au nikiliwa kiasi fulani naacha ili niitafute bahati baadae.

Otherwise nimeona ni mchezo wenye uwezo wa kumpa mtu hela ila ni ngumu sana kama utakaa ucheze kwa muda mrefu bila kupumzika - utaliwa vibaya sana.

Mimi nikipata pesa ya mtaji nimepanga kujiwekea sheria hizi kwenye huu mchezo:-
1. Nikiwa na mtaji wa 5000 nitaweka profit plan ya 2000 kila muda nitakaocheza na loss limit ya 2000
2. Nitakuwa najipa masaa mawili kabla ya kucheza tena.
Hizo ndio zitakuwa sheria zangu kuu.

Lakini bado nina mengi ya kujifunza kwenye hii kaliba ambayo natamani nijenge kibanda kabisa. Tuzidi kupeana maujanja wale wapenzi wa hii spinning game...

Nakushukuru sana sungusungu kwa kushikilia vyema bango la spinning. Soon tutakuwa pamoja
Umesema vyema sana Mkuu
 
Hakuna kitu kigumu kwenye huu mchezo kama kustop loss, unaweza ukajikuta unastop loss zaidi ya mara 3 hapo maana yake mtaji utakuwa umepungua sana tu ndio maana unakuta mtu akishaliwa anataka arudishe tu mtaji wake ulivyokuwa ndio aache na na sio aliwe ndio aache
 
Ndivyo ulivyoelewa wewe

Back
Top Bottom