Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

AISEE.
JAMANI KATIKA PITAPITA ZANGU HUKO KWENYE MA-DARK DEEP WEB NIMEKUTANA NA KITU HIKI CHA KUSTAAJABISHA.......JAMANI NI KWELI LEO BARCELONA ANASHINDA??.....KWELI????.....EBU JAMANI NAOMBA WENYE KUJUA KUDADAVUA WATUJULISHE LEO BARCELONA ANASHINDAJE LEO KWA MFANO!!??....JAMANI MKEKA WANGU NIMESHANDAA NA BARCELONA NIMEWAWEKA!.....INABIDI NIWAONDOE....BAADA YA KUONA HIKI KITU HAPA CHINI!.......INGAWA SIKIAMINI KABISA .....HAPO NI KUPOTEZA PESA TU....INGAWA NASHAWASHIKA KUUFUTA VILE ULIVYO LAKINI NAOGOPA SANA ....MIHEMUKO!!!!...AHAAAA!
View attachment 1287876
 
Viunzi vyote yupo
Screenshot_20191211-004304.jpeg
 
Ajax Amsterdam kasepa na wengi hata goal moja limemshinda. Makampuni ya kubet yanaufunga mwaka vizuuuuriiiii
 
Back
Top Bottom