Sad Larry
JF-Expert Member
- Jun 17, 2019
- 414
- 558
Hiii pesa mapemaaaaLeague - Australia
Time - 11:30 am
Sydney Fc vs central coast - over 2.5 FT
odds 1.50
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii pesa mapemaaaaLeague - Australia
Time - 11:30 am
Sydney Fc vs central coast - over 2.5 FT
odds 1.50
Nitailipia mkuuu baadaye hapo nimeshare Hilo kokoro...jana nimempuna 500k
Hiyo haina ubishi mkuu, nothing can happen [emoji38][emoji38][emoji38]Sad Larry yes anything can happen
[emoji848]I can win 6 254.75 TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tzView attachment 1291989
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi jackpot ya Betpawa takiwa ushinde zote 17 ndo upate 200m au 13/17 kwa wanaojua napenda kujuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau mmoja wa hizi kampuni za kamari aliwahi kuniambia kuna wakati wakiona mambo hayaendi huwa "wanatengeneza" matokeo kwa kuwatumia watu kwa options/mchezo fulani mfano (virtual) ili kuwaaminisha watu kama wanaweza kupata pesa kwa urahisi wakicheza...ni kama matangazo..lengo uvutike uweke mzigo upigwe...
NB:Naomba nisinukuliwe vibaya...na sijataja mtu..😂😂
Ili uwe na uhakika wa jibu nunua hizo fixed matches halafu ongeza tena hela baada ya mechi utakua na jibu lako na hutakuwa na mashaka tena. 😀😀😀😀😀Kwa anayefahamu au mwenye uzoefu na fixed matches msaada kidogo hivi kweli zipo au matapeli tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika sana ila nadhani ni matapeli tu, wengi naona wanalalamika sana kulizwa na hao watuKwa anayefahamu au mwenye uzoefu na fixed matches msaada kidogo hivi kweli zipo au matapeli tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm hapo nna wasiwasi na hiyo ya valencia na madrid kumpa direct win madrid kwann isiwe o/u. Ni mtazamo tuWaungwana hebu kama kuna mchawi hapa achomolewe kwa huu mkeka, nmejaribu View attachment 1292017
Tumia tu uelewa wako, unaona Kuna mtu anaweza kupanga kitakachotokea uwanjani ? Labda Kama wachezaji watakuwa wanakaa katikati ya uwanja kisha anatoka mchezaji mmoja na mpira kisha anaenda kwenye la upinzani akiwa pekeako. Hapa ndipo fixed match itakapotokea. Ila watu wakiwa wanakimbia uwanjani na mashabiki wapo hakuna anayejua kinachotoea dakika 90.Kwa anayefahamu au mwenye uzoefu na fixed matches msaada kidogo hivi kweli zipo au matapeli tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anayefahamu au mwenye uzoefu na fixed matches msaada kidogo hivi kweli zipo au matapeli tu.
Sent using Jamii Forums mobile app