bet lostBet Small, Win BIG | Online Sports Betting | betPawa
www.betpawa.co.tz
Sent using Jamii Forums mobibet
Boom.
Wafate kweny account yao Facebook watakujibu chap na watashughulikia tatz lakoSorry makamaria kuna mkeka niliweka bet pawa siuon kweny record zangu yaani kweny active bet haupo pia kweny mikeka ilichanika haupo sielewi uko wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Unabwekaaa kama mbwa yatimaa..Inahitaji Mtaji Mnene coz ili ufikishe mara 2 ya stake yako itabidi ule mara 5 mfululizo kitu ambacho sio rahisi yani lazima Ubweke katikati ya safari ya kufikisha mara 5 na ukibweka hapo maana yake ni hasara! Na ni wajanja saana unakula mara 3, ya nne unapigwa unabweka kama jibwa koko, unaanza upya nayo unafikisha ya 4 wanakupiga kwahyo wanakutafuna taaratibu mwisho wa siku wanakuacha Empty mama£ Unabweka kama sungusungu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na hizo herufi kwa mfano ambazo unatakiwa uchague kama 5,ukikosea tu moja manake 25000 imeondoka hlf ulikula mara 1 tu ukapata faida ya 5000, bado ni hasara
Unabwekaaa kama mbwa yatimaa..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry makamaria kuna mkeka niliweka bet pawa siuon kweny record zangu yaani kweny active bet haupo pia kweny mikeka ilichanika haupo sielewi uko wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee,nimegundua ukiwa na mtaji kwenye beting hukosi hela kama huna tamaa na kuweka mkakati dhabiti kama huu,aisee hapa nimejifunza"THE JOURNEY TO THE MAGICAL OF JGB 2020" (MONTHLY RESEARCH)
Day 13, Bet Won
Totall Bet 13,
Won 12 [emoji819]
Loose 1 ×
[emoji1][emoji1][emoji1]yan had natamani nianze KESHO,
Ila I have to finish my reaserch ili ni nimpgie. Sure Analysis depend on my reaserch data.
[emoji84][emoji84]GET READY KANJI, 17 days Remain
View attachment 1291762View attachment 1291763
poa mkuupole mkuu...huwa kuna sheria zake...binafsi sijazifuatilia Ila ingia kwenye page yao usome utaelewa tu nn kinahitajika ufanye ili uweze kucash out
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi hapo hawa jamaa waongoGurudumu lipo kwenye 17, selection ipo kwenye 21 lakini umeshinda. Ahsante!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaweza share link ya mkeka wako hapo na betpawa ili iwe rahisi nasis kulink kwetu
Unaweza share link ya mkeka wako hapo na betpawa ili iwe rahisi nasis kulink kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app