Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

makocha muda mwingine naona nao wanbeti mkuu
😂😂😂 hamna leo walikamatwa tu, imebidi wachezaji sasa wacheze individually zaidi ndo wakapata hako kagoli.
Hata bookies nao wamehadaika maana imewachukua hadi dk ya 70+ kufanya odd ya over 0.5 kuwa angalau @1.60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…