Wadau naomba kuuliza...mfano timu A inacheza na timu B...timu A ipo nyumbani timu B ipo ugenini...ghafla mchezo ukavurugika lakini tayari timu ya nyumbani ilikuwa ikiongoza kwa magoli zaidi ya mawili(2)...waamuzi wa mchezo wakaamua kumpatia ushindi wa mezani timu ya ugenini wenyewe wanaita "AWARDED AWAY WIN" au AAW...na mimi nili-bet magoli (over 1.5) kwenye hiyo mechi na hiyo ndiyo mechi pekee iliyokuwa imebakia kwenye mkeka wangu nyingine zilishachezwa zikatiki...mwisho wa siku BET inakuwa WIN or LOST....msaada tafadhali kwa anayefahamu wakuu.