tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
You nailed it dude!....kula tano mkuu...ku-bet ni akili kwanza hisia baadaeBesiktas ulitumwa amaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nlichogundua wengi wetu tunabeti namba za muhindi sio analysis za game mf ukiona odd 1.23 kwa 2.90 wengi tunatangulizwa na namba inauma odds kubwa zinatiki alafu ndogo ndogo zinatuuwa ,wengi hatufatilii taarifa za tim husika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]nkjua niliona peke angu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] HALA MADRID!!!! ..
.Valencia 1-0. 78min
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba kuuliza...mfano timu A inacheza na timu B...timu A ipo nyumbani timu B ipo ugenini...ghafla mchezo ukavurugika lakini tayari timu ya nyumbani ilikuwa ikiongoza kwa magoli zaidi ya mawili(2)...waamuzi wa mchezo wakaamua kumpatia ushindi wa mezani timu ya ugenini wenyewe wanaita "AWARDED AWAY WIN" au AAW...na mimi nili-bet magoli (over 1.5) kwenye hiyo mechi na hiyo ndiyo mechi pekee iliyokuwa imebakia kwenye mkeka wangu nyingine zilishachezwa zikatiki...mwisho wa siku BET inakuwa WIN or LOST....msaada tafadhali kwa anayefahamu wakuu.
Nimewapigia simu lakini naona imekuwa "kipengele"....wanasema inabidi nisubiri masaa 24 hadi 72 ndiyo uamuzi ufanyike ndipo muamala utasoma....lakini wakati huo odds ya hiyo mechi husika itashuka na kuwa 1 sawa na hamna kitu...dah kweli nimeamini "uchawi" upo duniani...mani9erwin maana ulicheza magoli na siyo nani ashinde
Mjini fitna....hapo wakamaria walio-bet direct timu ya nyumbani ishinde pesa imeshaliwa na kanjiwin maana ulicheza magoli na siyo nani ashinde
I guess ni hii mechi imekuletea zengo,Nimewapigia simu lakini naona imekuwa "kipengele"....wanasema inabidi nisubiri masaa 24 hadi 72 ndiyo uamuzi ufanyike ndipo muamala utasoma....lakini wakati huo odds ya hiyo mechi husika itashuka na kuwa 1 sawa na hamna kitu...dah kweli nimeamini "uchawi" upo duniani...mani9er
Hahahaa yap ndiyo hiyo mkuu na ndiyo ilikuwa imebaki pekee....kwani timu kufungwa magoli mengi kwa haraka haraka uwa ni sababu ya kuhairisha mechi husika?I guess ni hii mechi imekuletea zengo,
[emoji119] so kwa hayo magolii naon mechii ilihailishwa hapo kuwa mpole after 72 hrs kama maaumuz ya mechi kupangwa upya hayajatolewa unapewa pesa ako , apo cjui sasa kulingan na ushind au inarudshwa(bet cancel)View attachment 1293658
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenibamiza leo sijaondoka hata na buku niko down kwa 45K recovery lazima ifanyike kivyovyote
kumamamamamamaeeee sungusungu bundleee...tukutane kwa mangiiiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app