Mr HEISENBERG
Senior Member
- Sep 6, 2017
- 149
- 133
Option ya over hua haisubir dakika 90...as long as magoli yamepatikana kabla ya game kuvurugika mkeka utakua umetikiWadau naomba kuuliza...mfano timu A inacheza na timu B...timu A ipo nyumbani timu B ipo ugenini...ghafla mchezo ukavurugika lakini tayari timu ya nyumbani ilikuwa ikiongoza kwa magoli zaidi ya mawili(2)...waamuzi wa mchezo wakaamua kumpatia ushindi wa mezani timu ya ugenini wenyewe wanaita "AWARDED AWAY WIN" au AAW...na mimi nili-bet magoli (over 1.5) kwenye hiyo mechi na hiyo ndiyo mechi pekee iliyokuwa imebakia kwenye mkeka wangu nyingine zilishachezwa zikatiki...mwisho wa siku BET inakuwa WIN or LOST....msaada tafadhali kwa anayefahamu wakuu.
Sure! Buddy...niliamka asubuhi nikakuta muamala tayari umesoma kwenye account yanguOption ya over hua haisubir dakika 90...as long as magoli yamepatikana kabla ya game kuvurugika mkeka utakua umetiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Salio kitoka voda kwenda safaricom lilifika?Wakuu natumia 22bet payment nafanya kwa safaricom line,iko hivi kikawaida ukideposit pesa kwa safaricom lazima utapata ujumbe.Sasa ili nideposit lazima nirushe pesa kutoka Mpesa tz kwenda Mpesa kenya.
Baada ya hapo lazima utumiwe ujumbe wa sms kwa nmba ya tz na namba ya kenya pia lazima upokee sms kama pesa imepokelewa kama nilivyosema hapo juu.sasa majuzi nimetuma pesa nikapata ujumbe wa Vodacom tz tu kwa imethibitishwa means ishafika, ila huku kwa wakenya no sms ya kusema muamala umefika subr sana lakn hakuna text yoyote wakat sio kawaida.
Basi nikaona isiwe taabu nikajarbu kudeposit ikakubali salio likasoma 22bet nilipata walakin lakn nilivyoona salio limesoma sikuwaza sana
Nikaanza kubutuana nao hawa 22bet, ikapigwa vita kali mpk jana nikapata kilo niitoe kimbebe kimeanzia hapo kwnye kutoa ile sms ya kuverfy haiji mama.e tangua jana naangaika kutoa aisee
Laki imegoma kutoka ss hapa ttzo litakuwa hawa jamaa wa safaricom ss sijui ndo line ishafungiwa daaah ....acc ina 145k nikifanikiwa naitoa yote walahi.
Wakuu hapo shida inaweza ikawa nn maana sielew hafu nishapanga mipango yangu kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu acha unaa, pambana na hali yako, unalala unawaza mipango ya watu wameotusua milliona zao, haitakusaidiaJaman Yule jamaa Wa million 24 mbona siioni picha yake betpawa akiwa kashikilia lile bango LA mfano Wa pesa... Mwenye picha naomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
100 oddsNipeni 100 odds nataka nipite na 10k nilale zangu now [emoji23][emoji23]
Ungejua ungeweka over 2.5 1H kabisa.
Hizi direct win zikiwa nyingi hivi hazikosi wachawi, wanatuliza balaa. Bora option ya magoli.