tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
Pole sana mkuu....mimi siku Ajax aliposhindwa kutoa ata draw tena nyumbani kwake against Valencia ndipo nilipoi-delete mazimaAjax kashindwa hata kupata draw
Najuta kuwaamin hawa jamaa
Wamechama mikaka yangu mitatu consecutively, shittt
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa dah...huo wanaita "uchochezi" mkuuJaman Yule jamaa Wa million 24 mbona siioni picha yake betpawa akiwa kashikilia lile bango LA mfano Wa pesa... Mwenye picha naomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Mchawi, ila huwa kuna Kamati ya Roho mbaya chini ya Mwenyekiti Ndg.Kanji lolote lawezekana.
dah pole sana mkuuAjax kashindwa hata kupata draw
Najuta kuwaamin hawa jamaa
Wamechama mikaka yangu mitatu consecutively, shittt
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kipisi kikifika salama nalamba 900kHizi direct win zikiwa nyingi hivi hazikosi wachawi, wanatuliza balaa. Bora option ya magoli.
Hizi za direct chagua chache ziweke. Jana Plzen kanchania wangu, huku Ajax kakosa hata sare, sevilla kapigwa
Salio kitoka voda kwenda safaricom lilifika?
Salio kutoka safaricom keenda 22bet lilifika?
Kama majibu ni ndio check na 22bet kwanini mpunga hautoki kwako kuja safaricom?
Share link MkuuView attachment 1293964 Aya Mwenye elfu 5k yake 10k 100k yake nk mizigo ndio uwo chini