Japo mimi sio mpenzi wa matren ila hii inaweza kuwa pesa.. Ngoja nitembee nalo kwa 10000TRENI HILOOOO
..ODD 80View attachment 1297741View attachment 1297742View attachment 1297743View attachment 1297744
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya ku share link mkuu tutelezeTRENI HILOOOO
..ODD 80View attachment 1297741View attachment 1297742View attachment 1297743View attachment 1297744
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalingana wote saiv 113 na bado kuna dk 3:49 hiv tena.
Treni likiwa refu sana sio rahisi timu zote kutoa over 1.5, Huwa anajitokeza mchawi anashinda kigoli kimoja au Suluhu ya 0:0. Ni vizuri muwe mnachanganya Tips kulingana na aina ya Timu zinazokutana. Ila kwa kuwa hii ni kamali kila mtu na zali lake. Ni mwendo wa uthubutu tuJapo mimi sio mpenzi wa matren ila hii inaweza kuwa pesa.. Ngoja nitembee nalo kwa 10000
Jana nilibet mechi 2, kila mechi 500/=. Nikakosa mechi moja na nikapata mechi moja. Kulingana na hayo matokeo inaonekana sijapata kitu ingawa nilipatia mechi. naombeni ufafanuzi wakuu.
Jana nilibeti mechi 2 matokeo yakawa nimepatia mechi moja(FC Porto niliipa ushindi ikashinda) ila kwenye account inaonekana sina chochote.Tafuta odds nzuri tu kuanzia 1.30 hadi 3 weka kuanzia 30k had 50k utapata faida ya 20 hadi 30 ila sio uhakika kuna siku unaweza kuchezea kichapo na mtaji wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo umeshinda ila mwishoni inaonesha LOST, ebu nifungue macho mimi pia natumia BetpawaKANJI IPO SIKU UTAELEWEKA KABILA LAKO TUView attachment 1296829View attachment 1296830View attachment 1296831View attachment 1296832View attachment 1296833View attachment 1296834
Sent using Jamii Forums mobile app
io timu moja yenye nyekundu ndo ilioshindwa kwaio mkeka wote ame LOST.Mkuu hapo umeshinda ila mwishoni inaonesha LOST, ebu nifungue macho mimi pia natumia Betpawa
Daaaahh, kwa hiyo ukipoteza timu moja, mkeka unachanika wote?, sio kwamba unapata zile ulizopatiaio timu moja yenye nyekundu ndo ilioshindwa kwaio mkeka wote ame LOST.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia mtindo wa kuweka mechi nyingi kwa hela kidogo(mathalani 500), unawekaje. Mimi jana nilitaka kufanya hivyo nikashindwa, nikalazimika kuweka kila mechi jero jeroio timu moja yenye nyekundu ndo ilioshindwa kwaio mkeka wote ame LOST.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri ila halina online bettingView attachment 1297959
Iv hii kampuni ipo poa jamani nataka kuanza kuitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ukikosa timu moja mkeka wote umechanika,.ingekua unapata ulizopatia basi kanji angekufunga biasharaDaaaahh, kwa hiyo ukipoteza timu moja, mkeka unachanika wote?, sio kwamba unapata zile ulizopatia
mkuu bado unasafari ndefu sana kuijua betting,.nakushauri upitie mwanzo mwanzo wa huu uzi yapo utapata ya kujifunza.Pia mtindo wa kuweka mechi nyingi kwa hela kidogo(mathalani 500), unawekaje. Mimi jana nilitaka kufanya hivyo nikashindwa, nikalazimika kuweka kila mechi jero jero
Naomba unielekeze App nzuri ambayo nikikosa mechi moja isiathiri mkeka wote. Betpawa nitaitumia kwa mechi moja tu ambayo nitakuwa na uhakika mkubwa wa kupatia ila nitakuwa naweka jero ya soda tumkuu bado unasafari ndefu sana kuijua betting,.nakushauri upitie mwanzo mwanzo wa huu uzi yapo utapata ya kujifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
betting ndp ipo ivo mkuu,ukiweka timu tatu mbili zikashinda moja ikakosa mkeka wote umekosa,io ndo betting labda parimatch nasikia yenyewe ina cash out.Naomba unielekeze App nzuri ambayo nikikosa mechi moja isiathiri mkeka wote. Betpawa nitaitumia kwa mechi moja tu ambayo nitakuwa na uhakika mkubwa wa kupatia ila nitakuwa naweka jero ya soda tu