Buda amka mida ya pesa mida ya pesa NBA kimewaka
Unaweza kusubiri vikapu vishuke hadi 48.5Utah jazz over 50.5 2QT
Odds 1.91
Inauma sana.
Npo hewan mkuuBuda amka mida ya pesa mida ya pesa NBA kimewaka
Boooom ✔Utah jazz over 50.50 2QT
Odds 1.91
Hakuna kulala Game zinafatana hadi saa 12 ambayo itaisha saa mbili asubuhi baada ya hapo Church na sadaka juu😝😝
Nakusubiri tupia tips m nipo machoHakuna kulala Game zinafatana hadi saa 12 ambayo itaisha saa mbili asubuhi baada ya hapo Church na sadaka juu[emoji13][emoji13]
kaka vikapu plz naona NBA kucheleHakuna kulala Game zinafatana hadi saa 12 ambayo itaisha saa mbili asubuhi baada ya hapo Church na sadaka juu[emoji13][emoji13]
Ndio unaitafuta huku hiyo 2m ??Nina shida ya milioni mbili...Dah
2m and my problems will be over for the time being...
ahahaha,
SAS vs. LA Clippers - Over 54.5 3Q
Odds 1.85
Sent from my iPhone using JamiiForums
Suns vs Houston Rockets - Over 56.5
Odds 1.80
Sent from my iPhone using JamiiForums