Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Wanashindaaa ilaa GG ZA KUMWAGAA KAMA SI MAGOLIILiverpool leo kwa Flamengo kazi wanayo...
Wanashindaaa ilaa GG ZA KUMWAGAA KAMA SI MAGOLIILiverpool leo kwa Flamengo kazi wanayo...
[emoji106]Aseno under 1.5 -half
Arsenal ni kikundi cha siri cha Muhindi.View attachment 1299173
Kwamba hawa Arsenal ndani ya hizo dakika arobaini wamesimama uwanjani ? Possession 6% kweli ?
Livescore ilinidanganya. Ni 53% kumbe.Arsenal ni kikundi cha siri cha Muhindi.
Hata kama, we subiri utaona uwakala wake.Livescore ilinidanganya. Ni 53% kumbe.
Hahahahahahahahah ALL THE BESTNina mkeka huo odds zake zinatisha toka jana ila unaenda vizuri timu 15 ukitiki Christmas hii nawatoa dinner woteee 😝
Inauma sana.yeni malatya kutoka uturuki ananinyima lak8 alibak yeye tu nilimpa ashinde au sare had mda huu kapigwa 2 mbaya zaid yupo nyumban
Sent using Jamii Forums mobile app
Good luck.Nina mkeka huo odds zake zinatisha toka jana ila unaenda vizuri timu 15 ukitiki Christmas hii nawatoa dinner woteee [emoji13]
Jana kuna majinga ya uturuki yalininyima laki 1 tena nayo yalikuwa nyumbani kabisayeni malatya kutoka uturuki ananinyima lak8 alibak yeye tu nilimpa ashinde au sare had mda huu kapigwa 2 mbaya zaid yupo nyumban
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kuna majinga ya uturuki yalininyima laki 1 tena nayo yalikuwa nyumbani kabisa
Mkuu tema mate chini inter nmemweka kwenye mikeka yangu yote leo [emoji847]
hadi unashindwa ichukue ipi maana tushastake hadi familia[emoji23][emoji23]Pdidy ni makusudi au mana hatupumui.